Top Tweets for #semaamina
Chochote unachokitaka kiwe bora au kikupendeze hakikisha unakua mstari wa mbele kwenye maandalizi yake... unatakaje kizazi bora ikiwa wewe sio bora kwenye malezi?
#SemaAmina
#ElimikaWikiendi
Jifunze kuyakubali matokeo yanayokuja kwani sehemu kubwa ya matokeo hayo chanzo chake ni wewe mwenyewe...!! #SemaAmina
@Narrowbeeflying Hapo zidisha juhudi za kutafuta hela hadi hapo nadhani umeshaona nguvu ya pesa... #SemaAmina
Mafia sio hadi ukasomee tu ila ni kuwa na marafiki wanafiki na unajua ni wanafiki na unaishi nao kinafiki fresh tu...!!
#SemaAmina
Mpumbavu mmoja akiishi na waerevu wengi anabadilika haraka vivo hivyo na mwerevu mmoja akiishi na wapumbavu wengi na anakua na upumbavu zaidi yao..!! #SemaAmina
Kuna vitu vinakuja kwako ila si vyako ila umechaguliwa kama daraja kwa ajili ya wengine unapoguswa kutoa au kufanya kitu kwa mtu fanya bila kutafakari sana... #SemaAmina
Kuna kipindi cha kupeleka nyama nyumbani na usifanikiwe kuila hata kidogo na kuna kipindi cha kuwekewa na kukumbushwa kuwahi kurudi... Kuna watu wananielewa vizuri kabisa hapa.. #SemaAmina
Kufeli kwingi ni mchakato wa uzembe wa muda mrefu sio jambo la gafla...!!
#SemaAmina
#ElimikaWikiendi
Naibariki siku yangu ya leo.Na kwenu ikabarikiwe pia.#SemaAmina
Last Seen Hashtags on Sotwe
anxiouspandaaaa
Seen from Argentina
mgai(*)video
Seen from Spain
Habashaporn
ุงุฎููุง
Seen from Egypt
coughtoncamera
Seen from United States
brosis
Seen from United States
anxiouspandaa
Seen from United States
jerkingcaught
Seen from Germany
ๅๆจก
Seen from United States
เนเธเนเธเธเธกเนเธซเธเน
Seen from Thailand
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers

