Top Tweets for #simonmsuva
#VSPORTS Goli La Mchezaji #SimonMsuva Lililopelekea Timu Ya @TaifaStars_ Kufuzu #AFCON2025 Dhidi Ya Guinea Leo Katika Dimba La Benjamin Mkapa.
-
#ChannelVUpdates
#V-Sports
#TuongeeKimichezoZaidi
#VSPORTS Timu Ya Taifa Ya Tanzania (@TaifaStars_ )Imefanikiwa Kufuzu Kombe La Mataifa Ya Afrika #AFCON2025 Baada Ya Kuichapa Guinea Goli 1️⃣-0️⃣ Goli Ambalo Limefungwa Na Mchezaji #SimonMsuva
.
#ChannelVUpdates
#V-Sports
#TuongeeKimichezoZaidi

AFCON: Shuti la #SimonMsuva dakika 11 lililojaa wavuni halikutosha kuipa ushindi Timu ya Taifa ya #Tanzania baada ya kuambulia sare ye goli 1-1 dhidi ya #Zambia katika mchezo wa Kundi F kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)
Tanzania iliongoza muda mrefu katika mchezo huo kabla ya kukubali goli la kusawazisha lililofungwa na Patson Daka dakika ya 88 kwa kichwa. Kutokana na matokeo hayo #Morocco inaongoza kwa kuwa na pointi 4, Zambia (2), #DRCongo (2) na Tanzania (1)
Michezo iliyosalia Kundi F itachezwa Jumatano Januari 24, 2024, Tanzania dhidi ya DR Congo na Zambia dhidi ya Morocco
Soma https://t.co/i2SgjYC9cj
#JFSports #AFCON2023 #JamiiForums

KUFUZU AFCON: TANZANIA YASHINDA 1-0 DHIDI YA NIGER
Goli la #SimonMsuva (69’) linaifanya #TaifaStars kufikisha point 7 katika Kundi F na kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu kucheza Fainali za Michuano ya Afrika (#AFCON) Mwaka 2024 Nchini #IvoryCoast
#Algeria inaongoza kundi F ikiwa na pointi 12 na tayari imejihakikishia kufuzu, #Uganda ina pointi 4 na #Niger ina pointi 2. Mchezo wa Uganda na Algeria bado unaendelea
Soma https://t.co/g4FbzbavdQ
#JFSports #JamiiForums

KUFUZU AFCON2023: TAIFA STARS YAITUNGUA UGANDA 1-0
Timu ya #Tanzania ‘#TaifaStars’ imepata ushindi huo kwa goli la #SimonMsuva alilofunga dakika ya 68 kwenye mchezo wa Kundi F uliopigwa Uwanja wa Suez Canal Nchini Misri
Tanzania imefikisha pointi 4 katika kundi hilo la kuwania Kufuzu #AFCON2023, ikiwa nafasi ya pili nyuma ya #Algeria yenye pointi 9
Tanzania na #Uganda zitarudiana Jumanne Machi 28, 2023 kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar
Soma https://t.co/gqQ2eCsqPN
#JFSports #JamiiForums

@IAMartin_ @fatma_karume Lakini pia kuna mdau katoa reference ya #SimonMsuva na #Wydad alikaa mpaka hukumu yake ikafikia mwisho akajiunga aliko sasa. Nahisi na hili tuviachie vyombo vinavyohusika na masuala ya Soka viamue, uzuri asiporidhika na TFF, CAS na FIFA wapo, aende huko, asitafute huruma
JUST IN: Former Wydad Casablanca stricker and Tanzania National team player Simon Goodhope Msuva officially joined Al Quadisiya from Saudi Arabia
Read more: https://t.co/JIyzAIwCVX
#msuva #Transfers #simba #yanga #papesakho #hajimanara #simonmsuva
MSUVA ANAONGEA: Usikose kutazama mkutano wa nyota wa ‘kabumbu’ nchini Simon Msuva na waandishi wa habari leo kuanzia saa 5:00 asubuhi.
Tutakuwa LIVE #AzamSports1HD
#PressConference #SimonMsuva

4 years Contract WAYDAD CASABLANCA 🇹🇿💪
#SimonMsuva

#TaifaStars are under skipper #MbwanaSamatta, who has so far scored 17 goals for the national team, #JohnBocco (16 goals) and #SimonMsuva with 10 goals.

#LiveAFCON2019Updates
#Trending This is #Tanzania 🇹🇿 proud to announce our first goal at the 22 mintues against #Uganda goal scored by #SimonMsuva continue to #MakeItCount make us proud @Tanfootball
#Afcon2019NiZamuYetu
#BT our platform
#ProudlyTanzanian

Wakilisha Mwanangu, Haina kufeli, hapo ulipo ni karibu sana na kwenye ulaji Mkubwa.
.
Heri ya Siku ya kuzaliwa Kamanda #SimonMsuva.

Ufunguzi #NdondoCup
MabiboMarket Vs #KekoFurniture
Uwanja wa Kinesi
Mgeni rasmi, Waziri-Dkt Harrison Mwakyembe
#WashtueWana tujumuike na
Nyota wa Tottenham @VictorWanyama, Nahodha wa Taifa Stars @samatta77, Mwanamuziki
@OfficialAliKiba, Nyota wa soka #SimonMsuva & #AbdiBanda

#SSDI event @JMKPARK with #SimonMsuva Pro Tanzanian player in 🇲🇦 #AlJadida FC supporting the development of the young future of 🇹🇿 Tanzanian players.

#SimonMsuva kashaanza kuuwasha moto huko Morocco kwenye klabu yake ya #difaâeljadida..Katupia… https://t.co/f1nBLluMcW

#HiliGame Sisi tumejianda kupata ubingwa ndiyo maana unaona wachezaji wapo na Ari ya kujituma na kupata ushindi #SimonMsuva @mkazuzutza

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichat(*)(*) filter:videos
MARAŞ
Seen from Turkey
minichat((((((()))))))* filter:native_video
Seen from United States
نارو_naroiq
Seen from Spain
bursatravesti
Seen from Turkey
old aunty
Seen from United States
sagging
Seen from United States
sexnudes
Seen from Turkey
nikolaus
turkifsa
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers

























