Top Tweets for #tegeta
🇸🇪🤝🇬🇪 Congrats 🎉 to @TegetaMotorss & their energy efficient "#Tegeta X #Volvo" project, 4 addressing environmental challenges during construction of #VolvoCarSakartvelocenter in Tbilisi➡️https://t.co/ObfZydkCoo
#fundedbySweden #SDGs #corporatesustainability #volvosustainability
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.
Have blessed 🙏 day Wazo ni yetu sote Kuza uchumi Kazi kwanza Vumbua fursa za mtaa.
#twigacementplus #twigacement #heidelberg #heidelbergcement #heidelbergcementgroup #cement #tegeta #wazo #wazohill #wazohillsecondaryschool
Olihan päivä: Heräsin 11.28 am. Menin äxään ja sen jälkeen päivitin duuni-iPadin. ~3.00 pm vein #X5:n saamaan iloa ja valoa #Tegeta'lle, josta kävelin 5km takaisin kotiin. Koukkasin alakerran 247:sta kuoharin, oluet ja evään, jotka nautittiin illan mittaan.
Nyt tässä. #arkivapaat
Unalala mwenye nyumba una amka mpangaji, eeeh Mungu tunusuru na haya majanga.🙌
#Tegeta
#TEGETA Katika kufunga #WikiYaHudumaKwaMteja leo 06/10/2023 Kamishna wa Walipakodi wa Kati, Bw Alex Katundu amewashukuru walipakodi na wadau wa TRA ambao ni Benki ya CRDB, NBC, NMB na Manispaa ya Kinondoni Kwa kuendelea kushirikiana na TRA katika kufanikisha huduma.

#TUWAJIBIKE Bofya hapo chini kutazama video uzinduzi wa mwendelezo wa kampeni ya Tuwajibike awamu ya pili Mkoa wa Kikodi wa #TEGETA leo.
https://t.co/tOdHO1aaj8
#TEGETA Kaimu Meneja Mkoa wa Kodi Tegeta Bwana Mtwale Mazula aliyevaa kitambulisho akiwakabidhi washindi wa wiki wa Bahati nasibu ya DAI RISITI USHINDE PESA zawadi ya 250,000 kila mmoja leo tarehe 05/09/2022 katika ofisi ya TRA Tegeta.

#TEGETA Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kikodi wa Tegeta, Bi. Husna Nyange tarehe 22/08/2022 akimkabidhi zawadi ya fedha taslimu TZS 1,000,000 mshindi wa bahati nasibu ya #DaiRisitiShindaPesa Bw. Mussa Sinaponda.

#TEGETA Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kikodi wa Tegeta, Bi. Husna Nyange tarehe 22/08/2022 amekabidhi zawadi kwa washindi wa wiki 4 wa TZS 250,000 na mshindi mmoja wa TZS 1,000,000 wa bahati nasibu ya #DaiRisitiShindaPesa

#TEGETA Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Godwin Gondwe, leo 25.07.2022 akiwa Tegeta jijini Dar es Salaam amekabidhi zawadi kwa washindi wa wiki wa droo ya Bahati nasibu inayoratibiwa na TRA Mkoa wa Kodi Tegeta kwa lengo la kuhamasisha utoaji na kudai risiti halalli za EFD.

#TEGETA DAR: Wajasiriamali wa soko la Tegeta Nyuki lililopo Tegeta wametoa kero zao juu ya ubovu wa miundombinu ambayo sio rafiki kwa kazi zao licha ya kutozwa ushuru kila siku.
#KitengeUpdates
#SALASALA Maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wakiendelea na zoezi la elimu kwa mlipakodi mlango kwa mlango Mkoa wa kodi #Tegeta eneo la Salasala leo tarehe 30 Machi 2022 mkoani #DaresSalaam.

#Waswahili na Jambo letu
#KomaaConcert21
W E S E D A Y
Posted @withregram • @officiallyfido Yanatoka lete jombo #tegeta njia panda ya wazo @ Mbezi Beach, Tangi Bovu. https://t.co/oQ6mx2aeBG
#TEGETA Mamlaka ya Mapato Tanzania @TRATanzania leo 21/06/2021 inaendelea na Kampeni ya Mlango kwa Mlango eneo la Tegeta Kibaoni katika mkoa wa Kodi wa #Kinondoni

Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.6M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.7M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.1M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.9M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers



































