Top Tweets for #thecask
Mlisema chimbo weekend ni #TheCask sio
Haya kama upo karibu njoo upate hata kipooza Koo kidogo Niko bored

#TheCask walipigwa kabari na mkwara mzito wakaomba msamaha kisa bingo la mteja. @ccm_tanzania imewashika wananchi Mateka. Saa ya Ukombozi ni sasa.
#TwitterRepublic 🇹🇿
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguzi
#CCM_MustGo
#TzKwanza
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿
Wimbo wa Taifa unapigwa na ujumbe unapelekwa Loud and Clear.
Taifa la watu wanaojitambua.
Usishangae wametuacha mbali kwenye maendeleo kama Taifa.
TL kila mtu analalamika lwake..
We unalalamikia pambano waliopo #TheCask wanalalamikia wasanii kutopanda mpaka saa hii😂😂😂
良いもの観たら当然まっつぐ帰れず…
1次会➞二次会😅
そして深夜の浅草🌃
#THECASK

Tumemaliza jambo letu la Shinyanga, sasa muelekeo ni #TheCask kwenye #UsikuWaLeseni, nikiwa na mchochezi mwenzangu #Mgonja wa Banner ya #OkoaBandariZetu tukutane THE CASK! Kwenye Lesseni’s Night 🔥✊🏽

Lakini #TheCask
“MARUFUKU KUFUNGA BIASHARA”
Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1
Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha bajeti ya Serikali ya mwaka 2023/24 katika Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Halmashauri ya Ilemela, Kibamba anasema anaifungia Bar ya #TheCask kwa sababu hawana leseni na wana biashara nyingi (vinywaji, Chakula na Shisha). Ifahamike Leseni ya biashara ni 80K na haizidi dakika5 kuipata! Kukosa leseni ndiyo KUFUNGA biashara au kumkatia leseni?


Mamlaka ya Mapato Tanzania @TRATanzania wamekanusha kuwa hawahusiki na kuifungia Bar kubwa Jijini Mwanza ya #TheCask (Haina mgogoro wa kodi)
@TRATanzania, amrisheni hiyo mamlaka ifute kauli na kuifungulia #TheCaskBar Ili mweze kuendelea kuokota maokoto yenu kupitia vinywaji!

The Cask Bar & Grill Mwanza. Ina utaratibu kuwa ukinunua Vinywaji vya hadhi ya juu unapewa priority ya kuchagua maneno yako yawekwe kwenye Banner yadisplay. Makamanda wamenunua vinywaji na kuchagua #OkoaBandariZetu . Cha ajabu leo #TheCask imefungiwa kwa ukwepaji kodi . Tanzania

Binafsi, nimesikitishwa na kitendo cha Mkurugenzi~Halmashauri Ilemela Ndg Kibamba kuifunga bar maarufu Mwanza ya #TheCask kwa kosa la KUBUMBA! Nawaza ajira na ukatili huu kisa bango la #OkoaBandariZetu?😳! Juzi kati @mwigulunchemba1 alipiga MARUFUKU kufunga biashara, HAWAJIFUNZI?

@DanielMwanga20 Pole sana… ndiyo the most ‘bang place’ kwa Mwanza nzima kipo Rock City Malls…Ask #TheCask Chief✊🏽
Baada ya kununua vinywaji vyenye hadhi ya kuletwa na bango mezani. Wahudumu wakauliza…Tunataka bango liandikweje!? Nikasema liandikwe #OkoaBandariZetu. Bango likaja! tuka-enjoy zetu, nikarekodi na hii video. CCM wamenuna, wameanza kumtisha mmiliki wa #TheCask. maCCM wajinga sana


Like... why can't Ebony deal with this heaux in the street like she deserves @xDanielleAllenx ?
#amreading #TheCask
MWANZA ..!!!! 🏁🏁🏁🏁 #THECASK ♥️🤞 29/1/2021 I'M READY 🏁🏁 COME PARTY WITH KONDEBOY #INTHECLUBTOUR 🤞 10K 20k VIP 50k VVIP LAKI (5) MEZA ONLY 2000/ PEOPLE SIO ZAIDI YA HAPO ..!!! TAREHE 25/1/2021 TICKETI ZITAUZWA ...!! https://t.co/FAjEmQIwCC
#Jide20: Baada ya DSM kumpigia saluti Komando wa #BongoFleva #DadaMkuu @jidejaydee sasa ni zamu ya 88.1 #Mhz #RockCity (#Bakwineeeee😊🙌) .
Tarehe 18/9/2020 - #TheCask #MwanzaCityMall kwa mtonyo wa VIP - SH 25,000 na KAWAIDA 10,000 kaa tayari kwa makombora yake ya burudani.

Last Seen Hashtags on Sotwe
คลิปหลุด
Seen from Portugal
minichat(******************************************************************************) filter:videos
Seen from France
veinyfeet
Seen from France
publicplay
Seen from Switzerland
aliengirl0
search
Seen from United States
บิกินี่เซ็กซี่
Seen from Thailand
gaymalang
Seen from Indonesia
NACUFS2023
Seen from United States
momson(*****)********+filter:native_video
Seen from Germany
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.7M followers

Barack Obama 
@barackobama
119M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.2M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.4M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.1M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.3M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.7M followers


























