Top Tweets for #weneedchanges
@AOC How can you impeach him for “high crimes and misdemeanors” if he is essentially immune from criminal charges due to recent Supreme Court jurisprudence? #weneedchanges
@ccm_tanzania ina uchu wa madaraka/roho mbaya na ujambazi wanajilimbikizia mali na maisha ya anasa at expense of wananchi wote. #WeNeedChanges
#NoReformsNoElection
#KatibaMpyaNiLazimaSiOmbi
#TumeHuruYaUchaguziNiLazima
#CCM_MustFall
Aluta Continua ✊🏿
Power to the People ✊🏿
Wenza wa RAIS wanavyojiokotea maokoto.
• Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria.
• Wake wa A.H Mwinyi, Sitti & Khadija.
• Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna.
• Mke wa Jakaya M. Kikwete, Salma.
• Mke wa John P. Magufuli, Janeth.
• Mume wa Samia S. Hassan, Hafidh A.
Kwa mujibu wa The Political Service Retirement Benefits Act [CAP. 225] kila mwezi watu hawa watalipwa 60% ya mshahara wa Rais aliyepo madarakani.
Kama Rais aliyepo madarakani anapokea TZS 50,000,000 kwa mwezi, mwenza wa Rais atalipwa malipo/mafao ya TZS 30,000,000 kila mwezi.
Rais akistaafu, mwenza/wenza wake atapokea/watapokea (kwa mkupuo) 25% ya mshahara wa Rais alioupokea wakati wote akiwa madarakani.
Mfano, kama Rais alikaa madarakani kipindi cha miaka 10, akalipwa TZS 4,000,000,000, mwenza wake atalipwa TZS 1,000,000,000 kwa malipo ya mkupuo.
Pamoja na malipo hayo ya fedha, pia wenza hawa sita (6) wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watapata mafao mengine kama ilivyoelekezwa;
1.Nyumba ambayo Rais alipewa na alikuwa akiitumia kama makazi baada ya kustaafu itakuwa mali yake halali baada ya mume/mke wake (Rais) kufariki.
2.Mwenza atapokea posho ya matengenezo ya kila mwezi katika maisha yake yote kiasi ambacho ni sawa na 60% ya mshahara wa Rais aliye madarakani.
3.Mke/mume wa Rais atatibiwa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, na matibabu yake yatagharamiwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
4.Mjane wa Rais mstaafu atapata huduma ya magari mawili, pia atapewa dereva wawili kufanya shughuli zake za kila siku. Serikali inalipia gharama za mafuta.
5.Magari anayopewa mjane wa Rais yatabadilishwa baada ya miaka 5. Maintenance allowance. 60% ya mshahara wa Rais aliye madarakani kila mwezi
6.Malipo ya fedha kulipa mishahara kwa kiwango cha kima cha chini cha mishahara ya watumishi kwa; dereva, mpishi, mfua nguo na mtunza bustani
7.Mke/mume wa Rais atapata huduma ya usafiri kwa gharama za serikali hadi mahali pa kuishi hadi pale ambapo kifo kitawatenganisha na maisha.
8.Mke/mume na watoto wanapata ulinzi kutoka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) kutokana na mabadiliko yaliyofanywa katika Sheria ya Usalama wa Taifa.
9.Gharama za mazishi ya mke/mume wa Rais yatakuwa chini ya serikali ya Tanzania. Serikali ya Tanzania itagharamia kwa 100% msiba wa mwenza wa Rais
10.Mjane wa Makamu wa Rais, anapata stahiki kama za mjane wa Rais isipokuwa tofauti yake ni moja ndogo ti, atapata gari moja la Serikali na dereva mmoja.
PS; Mke/mume wa Rais mstaafu atapata pasi ya kusafiria yenye hadhi ya kibalozi (diplomatic passport). Hii atasafiri sehemu yoyote Duniani kama balozi.
Pensheni, posho ya kiinua mgongo au mafao mengine yoyote ya ziada ya kustaafu yanayotolewa chini ya Sheria hii yamesamehewa kodi ya mapato
“If you want to steal, steal a little cleverly, in a nice way. You'll be caught only if you steal so much as to become rich overnight.” - Mobutu Sese Seko, May 20, 1976
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
![IAMartin_'s tweet photo. Wenza wa RAIS wanavyojiokotea maokoto.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.](https://pbs.twimg.com/media/GkePSRNWAAA6nsb.jpg)
Kwa namna anavyoongea @TunduALissu inaonyesha wazi Tz tuna Viongozi wa @ccm_tanzania wasio na maslahi ya Taifa bali ujambazi. Na wanatumia nguvu kutisha na kuwanyanyasa wananchi wasijue sheria, kanuni na Taratibu ili waje wenyewe wawadanganye.
#WeNeedChanges
#CCM_MustFall
... Ambae haelewi kwa kina kuhusu No Reforms No Election asikilize Maelezo haya mafupi.
Hatutasusia Uchaguzi ila Uchaguzi hautafanyika bila ya Mabadiliko.
@namataik_ We're sick and tired of these thievocrats. They have no shame, no compassion, no love and no respect for the people they claim to serve.
I'm Mozambican and don't feel represented by the current government. I don't identify with FRELIMO.
#weneedchanges
"Dear Men,Kama hujamuoa usimpe pesa,huyo si mwanao akuitaye Baba!!
#RejectFinanceBill2024 🇰🇪
#WhereIsSativa
#FreeSativa
#WeneedChanges 🇹🇿

Very powerful seeing @GLFoundation_ on @BBCBreakfast this morning talking about knife crime. Truly so much more needs to be done. We haven't come anywhere as far as we should be in terms of tackling the issues.
#WeNeedChanges
#weloverugby
The management of @1000HillsRugby where they are not sitting and what they are following is solved
The player, what was given to us when @RugbyRwanda was there and what was done to us so that the development was achieved? How did the game develop?
#weneedchanges
Regarding the posts on Twitter by @1000HillsRugby Players for its suspension from participation in our activities, we would like to highlight the following .@Rwanda_Sports @AuroreMimosa @RwandaOlympic @RwandanRugby @raypowermk

@RwandanRugby @SSerge1000 @AuroreMimosa @bbfmumwezi @CityofKigali @jadocastar @david_bayingana @Rwanda_Sports @RwandaOlympic @LovelyMuhire If you do what you do through the federation, where do we blame what you do, or if what you do is represented by the president of the federation, where do we not blame them?
#Weneedchanges
#weloverugby
We live in a world where guns have more rights than childrens ... How many childs died in school shooting ? What have you done for that ? ... #WeneedChanges
@funjojr @skillz_tz1 Awa ndo machoko yanayorudisha harakat zetu nyuma .. Ila tusikubali watuvuruge..#weneedchanges #katibampya
ansarap sa feeling, gising ang Laurelian💚💚💚💚💚
#IStandWithMayorLyndon
#WeNeedChanges
#MasicatNaBukas
#BagongLaurel
People should start looking after there kids cause this country is getting crazy.
How can you kill a lil girl and remove all the parts on her body 😢Gambia Is this what we want for our beloved country Nooo …
Let’s vote wisely Please 🙏
#weneedchanges
The fact that often 80% of someone's income accounts for their rent alone... Something tells me this is incredibly unethical. Yet we wonder why there is a homelessness problem. The system is broken. The poor suffer while the rich get richer. #WeNeedChanges
(2/2) Tonight, whyever, I got to that version again. Heartbreaking.
What a day. What a night. #memories #love @aha_com #Utoya #weneedchanges
https://t.co/eOBB6bEd3o
Democrats always comes out on the losing end of these ‘negotiations,’ which means the most needy among us loses again! When will @SenSchumer grow a spine and stand up to Moscow Mitch? Asking for a country. #EnoughAlready #WeNeedChanges https://t.co/ZJlyQQ2AVc
Mayor of Windhoek it is 3 hours already you been a mayor but we can't see an improvement 🙄🙄
We need electricity today 😂
#weneedchanges

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.4M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.3M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
110M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
97.5M followers

NASA 
@nasa
92.1M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
90.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
87.4M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
81.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
72.7M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
69.6M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
69.4M followers

YouTube 
@youtube
68.6M followers

Bill Gates 
@billgates
63.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.9M followers

X 
@x
60.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
60.5M followers