@Mwanamapinduz@TheRealEkiswaga The Flydubai pilots were reportedly fighting in the cockpit until the crew and passengers intervened to help secure the aircraft. The same would not have been possible in a helicopter, as helicopters require constant supervision and control.
@Kamnyeso Majina hayahitaji alphabet ili yawepo bali lugha, chukua mfano makabila ya amazon ambayo hayana interaction na external world watu wao hawana majina kisa hawajui alphabet? .
@Mikumifinest Upande ambao wameenda ndio upande ambao hatujawai kuuona manake siku zote wanatuonyesha upande una face dunia. Fanya reseaexh yako vizuri.
@EduTalkTz ukiwaambia wataje umbali kati ya dunia na mwezi/jua wanalala mbele kuna baadhi ya maeneo yana jua masaa 24 mfululizo modal yao haina hico kitu
@hilarymbowe_ @bosskitamb @EduTalkTz kama dunia ni enclosed system setelaiti zinafanya vipi kazi, kupatwa kwa jua na mwezi kunatokeaje, kwenye hii enclosed system mwezi na jua vipo umbali gani kutoka aridhini.