Hata mtu akinipa Milioni 1 ya kitanzania
Nitrade Forex halafu nimpe faida ya asilimia 0.1% kwa mwaka mzima,
SITOIPOKEA..!
SITOKUBALI..!
KAMWE....!
Ndani ya hii miaka 6+ nimejifunza mengi..!
Ni miaka 10 sasa tangu Mbwana Samatta alipoanza kucheza soka la kulipwa kwenye bara la Ulaya, mwaka 2016 alijiunga na KRC Genk ya Ubelgiji akitokea TP Mazembe ambako alifanya mabalaa na kuzivutia timu kadhaa za Ulaya.
Katika kipindi cha miaka 10 ya kucheza Ulaya, Samatta amecheza Ligi Kuu tano [5] tofauti [Belgian Pro League, English Premier League, Super Lig, Super League Greace na Ligue 1].
Licha ya kukutana na mazingira mapya, mifumo tofauti ya uchezaji na ushindani mkali lakini Samatta hajawahi kurudi nyuma!
ZILE CANDLES ZENYE UNAONA KWA MT5 It works na zitakupa ugali lakini, unahitaji
1. GOD
2. HIGH SKILLS
3. DISCIPLINE
4. GOOD RISK MANAGEMENT
5. TIME
6. PATIENCE
If you are ready for that, THEN PUT EFFORTS!
TUNAONDOKA!
Do your best kunyooka
Ila pia fanya mishe zako na usali kwa Mungu.!
Pia usisahau kwenda https://t.co/B9lZXc3kXQ utajifunza mengi!
Ndio maana tunaomba sana serikali iregulate haya mambo ili kulinda haki na maisha yetu kama traders
Na watunge sheria!
Bye🫶
Ukiwa Focused and Locked in, kwenye vipaumbele vyako, chonde chonde usiruhusu mtu yoyote no matter how dear or loved they are kukuletea miyeyusho, distraction, au intention to bring you down.
Kaa kwenye njia yako na uso wako wa mbuzi.
Watu wengi wanadhani Productivity ni kuwa na Setup yenye makorokoro mengi
Ni vizuri ila anza kulingana na Budget yako
Mf: nina 1.5m Naanza na👇🏾
❍ Kiti
→ Budget: 200,000 TZS Facebook marketplate na IG vipo kibao Ex-UK
❍ Desk
→ Budget: 150,000 TZS. Chukua design👇🏾
FINALLY! Course Pekee Itakayokufundisha Copywriting Skills Hatua kwa Hatua Tena kwa Lugha ya Kiswahili Plus Mifano Halisi ya Copy Zilizowaingizia Wateja wangu Zaidi ya 2.3BILLION—ipo tayari 100%
Unaweza Kuipata Sasahivi👇🏼
https://t.co/wfW7mAvqvW
A man must build 3 things:
1. 😓A body that can handle pressure.
2. 🧠A mind that doesn’t panic.
3. 💰A skill that creates income.
Miss one, and the others suffer.
Hivi ushawahi kugundua kuwa hata ukae meza moja au sehemu moja na watu matajiri wenye pesa na mali hawatakaa waingize kwenye conversations mambo ya pesa, kipato au mali walizo nazo.
Ila ukikaa na watu wa wastani au chini, ni rahisi kusikia watu wakianzisha convo za aina hiyo.
Iko hivi matajiri wanaelewa kuwa pesa, kipato au mali siyo sehemu ya Identity yao. Yaani, ukikaa nao utajadiliana nao kuhusu vitu vya maisha ya kawaida.
Mara chache wataongelea kuhusu pesa au mali kwa sababu wanajua kuwa, mada hizo hazijengi "Connection" katikati ya mazungumzo ya kawaida.
Bali hukaribisha wivu, majuto, ulinganifu na hata kutoelewana.
Kama ni deal au fursa ya kupiga hela watakuambia tuweke appointment, wanatenga siku na muda maalam kwa ajili ya mada hiyo.
Hapa tunajifunza kuwa, Ukimya ni silaha kubwa sana. Punguza kuongelea vitu vyako katikati ya convo ambazo hazihusiani nazo.
Kikubwa tofautisha UTU na VITU.
I have never seen a man:
-Eat 3–4 eggs every morning
-Eat 1 avocado daily
-Eat bananas and fresh fruits during the day
-Eat spinach or green vegetables regularly
-Eat salmon or fatty fish twice a week
-Eat a handful of pumpkin seeds and nuts daily
-Use olive oil instead of processed oils
-Drink 2–3 liters of water every day
-Sleep 7–8 hours every night
-Exercise 3–4 times a week
-Do squats, walking, or running for blood circulation
-Get 15–30 minutes of sunlight daily
-Avoid smoking, too much alcohol, and constant junk food
…and still struggle with weak erections.
Its impossible.