philanthropist || entrepreneur || Graphic designer || Teacher || Fear of God || Pundit of my Own Experience 💪🏿
MUFC🛑 & SIMBA FC Fan
#SISI NDIO WAJASILIAMALI
Kama Una Roho Nyepesi Ukifika Kipande Ambacho Wanaonyesha Majeraha Ya TUNDU LISSU Huwezi Kutoboa Au Utamwaga Machozi. Sidhani Kama Kuna Binadamu Kawahi Kapitia Mateso Kama Haya. Na Makovu Makubwa Kiasi Hiki Na Risasi Moja Mwilini Yupo SERO Mwaka Mzima Na Zaidi. Inaumiza Sana
GIRISHONI amefanya niipakue hii makala, tusikilize wote.
Wote sasa tukatazame makala ya BBC AFRICA EYE ya mwaka 2026 inaangazia mapambano ya kisiasa ya Tundu Lissu na jaribio la mauaji dhidi yake la mwaka 2017, ikionyesha juhudi zake zinazoendelea za kudai mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini Tanzania licha ya kukabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyopewa mwaka 2025.
Halafu baadae tutapata muda wa kujadili kipeperushi cha Serikali katili ya CCM kilichotolewa na GIRISHONI.
Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu.
MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA.
Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili.
1. KATIBA MPYA.
2. FREE TUNDU LISSU.
Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA.
Voda (MPESA): 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
Repost 500
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…
URGENT 🚨 🚨. If you know anyone of influence in America or Europe please push this video to them. President Trump needs to see this video, The US Congress needs to see this video, The EU parliament needs to see this video. @potus@Europarl_EN@UN@tedcruz@SenatorShaheen@SecRubio@StateDept
After killing more than 10,000 Tanzanians in order to maintain power, Samia Suluhu is now in Moscow seeking the protection of Vladimir Putin, hoping to avoid accountability for the killings.
America and Europe cannot afford to let this become a new precedent in Africa: kill your own citizens, then run to Russia and hide behind Putin.
@Liberatus80@tausilikokola Please fikisheni huu ujumbe kwenye bunge la Marekani.
@francismtey Ulichotaka kukifahamu wengi hapo juu wamejaribu kukuelezea, lakini tayari umeshachagua upande wa kutokuamini ndio maana umeongezea maswali zaidi na zaidi kaka... ndio maana nikarejea Yoshua aliposhika kijiti kuongoza Taifa la Israel, aliwambia "..chagueni mtakaye mtumikia.."
@francismtey Ambapo umeonyesha uko na doubt na ukweli wa maandiko hayo... ndio maana nimechangia kuwa uchaguzi ni wako uamini Mungu yupo kupitia Ukristo au Uislamu au Mizimu au usiamini kabisa uwepo wake... ila ukisema uanze kuwa doubtful utapata sababu ya kutoamini..