Chibu na hela zake zote zile ila akipigwa mizinga ana punch sisi majobless, Wacheza kamari tukipigwa mzinga utaskia " Subiri Madrid atoe".
HATUTAJENGAπππ
Funzo: Chunga Ndimi Ukiona Jambo Alikuhusu Sio Lazima Kulizungumzia Itakusaidia Kulinda Heshma Yako Ata Kama Limekugusa Kiasi Gani We Like Kisha Kaa Kimya...!!
Ila Sasa Ukitaka Kujifanya Mjuaji Nawe Uchangie Kinacho Ongelewa Ililamdi Tu Uonekane Umo Ndio Hapo Watakapo Gundua Kama Wapo Maprofesa Kumi Na Tatu Tu Bali Wewe Ni Msindikizaji..!! Kutokana Na Utumbo Wako Wa Elimu Ya Msingi Utakao Changia..!!
Unapo Bahatika Kukaa Na Maprofesa Kumi Na Tatu Na Wewe Ukawa Wa Kumi Na Nne Japo Elimu Yako Ya Darasa La Saba Wakati Maprofesa Wanaendelea Na Khabari Zao Ukikaa Kimya Na Ukawaacha Wachambue Mada Hadi Mwisho Na Wakatawanyika Watajua Na Wewe Ulikua Miungoni Mwao