@Sheky___@stiobhans ๐
Those days
Tulikua tunapambania ukoo na vijiji ๐
Nimefurahi kuona @helahela_george ana excel kwenye media industry na @Sheky___ a great pharmacist.
Imelipa ๐
@ezekiel_kamwaga Kaka @ezekiel_kamwaga Audax mbali na kuwa mbobevu katika sekta ya Kilimo lakini pia alikuwa mtu mwenye Ushirikiano mkubwa sana na media, binafsi nakumbuka sana nyakati za mfumuko wa Bei (Jan- April 202) alivyokuwa anatoa maoni yake namna ya kuupunguza katika X spaces za Mwananchi
@rutaraka@ANSAFForum Media industry itamkumbuka kwa mchango wake katika masuala ya Kilimo, alikuwa ni miongoni mwa source mwenye Ushirikiano na kudadavua mambo kwa kina, #RIPAudax
@SwahiliBible 2nd supervisor wangu wa Dissertation yngu St Augustine (Fr Dr Britto) alishatupiga marufuku kitambo, alituambia wapo scholars wengi akiwemo Cresswell, amenisaidia sana, maana undergraduate nimetembea na Kothari sana ๐๐๐
@OnlineDentistTz Good discussion, mfano mzuri during world cup Qatar, wenzetu Wakenya walipeana sana maconnection na walijaa pale kufanya Kaz mbalimbali even zile ambazo unskilled, Ila sisi Watanzania ni ngumu sana correccomend wenzetu katika opportunities, that's why our remittance stats zpo chn