Kama Una unlimited bundle/fiber/starlink
Ngo'a ving'amuzi vyote uza screpa.
Fuata thread hii kuweza kustream kila kitu Bure kwenye TV yako,
Ikiwemo;
Soka
Movies
Tennis
Cricket
Boxing
News nk
Bookmark HARAKA mnooo
@therealrigoh@mpigabox Dem alianza kumu attack doto kua ana HIV then anaambukiza watu makusudi..
Kama ni kweli anaambukiza watu makusudi je doto kisheria hana hatia kweli?
Ukipoteza NIDA Idโ unatakiwa upeleke
1. Loss report
2.barua ya serikali ya mitaa
3.cheti cha kuzaliwa copy na orrignal
4.Nida Id ya Mzazi kama hana upeleke kiapo
5. Passport size 2
6. Elfu 20.
Mambo kibao utadhani unataka u renew uhai..๐๐พ