@zoetjesheeftX Wew hyo michezo ya wafanya biashara mjin.ukitaka kuujua ukwel muulze mhusika kama pesa hzo zliwekwa kwenye account yake. Hlo Bango huwa linalipiwa tu.pesa halal ni hzo anazopata hapo japo napo huwa has hazchukui zote
@Pharm_Council Huwa sina uhakika na usahihishaj wa mitihan ya licence.nahis kuna muda mnajiamlia tu kufelisha ila waendelee kulipia ada ya licence kila mwaka mnashndwa kujua kama pesa ni ngum kuipata .wapeni licence vijana ,kasoma 3yrz anachet chake kzuri bado mtihan wa licence mnapima nn
@zoetjesheeftX Wamekurupuka.huyo mwamba atakuwa na mashart kapewa magum sana kuhusu mali zake.mwanamke atakayejichanganya kitamlamba.kahama pisi kali zpo kbao ila mwamba kaomba atafutiwe mmoja wa kafara.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@CuthbertSweetb2@Mwabuk2Boniface@SimonC7 Huo mzgo ulioagzwa bei ikiwa juu uliuona na ulipita wapi wakat Iran walizuia strait of https://t.co/wAXxXjVXdH pia mzgo kufika Tz umewahi sana ni 2monthly .inshort tunavumilia tu ila tunapgwa sana