Marehemu mnamlaumu Bure Hakuna Sehemu Ripoti immetaja
Msitake Kuhamisha Ajenda watu waliotajwa wapo hai na tupo nao humu ndo tudeal nao au kisa waliotajwa ni marafiki zenu ndo mnataka kumuangushia lawama Marehemu
Sio Sawa hata Kidogo!
Pumzika kwa Amani Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli. Asante kwa kuiongoza Tanzania kwa uzalendo, uaminifu na mapenzi makubwa kwa waTZ. Asante kwa kunijenga, kuniimarisha na kuniamini kuwa mmoja wa wasaidizi wako. Daima nitakuenzi na kukuombea rehma za Mwenyezi Mungu. Lala baba.
Brother and Sisters from #Tanzania lets be the ones to narrate our stories,share and protect what’s ours! #unziptanzaniachallenge participate to this campaign and challenge many people to participate too!