@JamiiForums Mamlaka nyingi za udhibiti zilizopo nchini haziwasaidii wananchi badala yake hugeuka vyombo vya kutia uoga na kuwatesa wananchi kwa mujibu wa sheria.
Hatutaki tena🚮
@millardayo Epuka sana kununua viwanja na maeneo katika kipindi hiki ambacho hali ya utulivu wa kisiasa HAUPO nchini.
Utanunua, kesho utaambiwa hapa sio pako hata kama unayo hati ya umiliki.
@MangiwaKwanza1 Kwa matakwa yao hawawezi kufuta demokrasia,
Kwa sababu inawanufaisha mno je hilo unafahamu?
Ifike hatua CHADEMA wafute usajiri wa chama
Ndio njia pekee iliyobaki vinginevyo
Mateso makali hayaepukiki.
@MariaSTsehai Hizi kauli za watu waliozoe kuuwa na kuishi kwa damu za watu.
Hizi tusizipoteze, TUZITUNZE
Siku ukweli utakaposhinda
Tutawahukumu kwa hizi.