@masuba___@AlexSamoja@JinoUkucha Umenifungua macho
Mana nilitaka kununua mabati niende ALAF kwenyewe fundi akasema ukienda kiwandan bei n kubwa kuliko kwa mawakala nikawa simuelew
Wataalam wa Ardhi.
Naona kupitia mfumo wa Tausi unaweza kununua Ardhi zinazozwa na Serikali.
Nimejarbu kuangalia naona inanipelekea ktk Ramani siwezi kuona bei.
Au ni mpaka niende Halmashauri moja kwa moja???