Namshukuru MUNGU jumapili yangu nimeianza na hii VIDEO hakika watanzania wamefunguka VICHWA SIO MCHEZO.
Mjomba anapiga PANAPOUMA KWA LUGHA NYEPESI SANAAAA.
REPOST 200
Leo Wanaharakati wa Kenya wameandamana hadi Ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru @TunduALissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya.
Wanaharakati wa Kenya wamesema @kizzabesigye1 alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na kufunguliwa mashtaka ya UHAINI.
Wanaharakati hao wametishia kufunga Balozi za Tanzania na Uganda katika maandamano yajayo leo wametuma salaa tu.
REPOST 200
Going off topic today, naposti coz huyu mtoto toka siku kazaliwa mpaka about 2 years ago maisha yake yalikuwa shared na Watanzania almost on a daily basis. Ukuaji wake wote ulikuwa kwenye social media.
Naomba kuwataarifu kuwa mtoto wenu leo kaingiza miaka 16.Hata nivae heels bado he simpati urefu.
Huyu mtoto anabeba mzigo mkubwa wa kuni comfort. Yani sometimes mpaka najisikia vibaya nambebesha mambo mazito.
Sometimes huwa anasema mama maandamano yajayo mi naenda Tanzania kuandamana wala hawatojua nimeingia, wakiniua basi mama. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Happy birthday my second born…. My shoulder to cry on 😭😭😭😭😭
PS: Kidogo tukatazwe kuingia sababu watoto walikuja na sandals, sikuona walivyovyaa chini mpaka tumefika hapo. Nikawaonyesha post ya @nypost ndo tukaachiwa.
Kuna mtu anasema maumivu ya hawa watu ni kwasababu ya Nongwa ya Rais kutoka Zanzibar!!!!
Kwamba hawa watu wanalia kwasababu tu ya Nongwa sio?
Na huo ndio msimamo wa taasisi yenu?
Magufuli tuliempinga kwa udikteta a ukatili wake mpaka akafanya jaribio la kumuua Lissu alikua anatoka Zanzibara pia au?
Tunazidi kufahamiana.
@mkongwe325 Hawa jamaa mnakumbuka kabla hajafa mtangazaji mwenzeo mnakumbuka vzuri kumbukeni hawa walikuwa wanafanya haya? kumbukeni vzuri nawambia hivi kila mmoja atafikiwa kwa zamu yake,hawa baada ya mwenzeo yule aliyekufa akiwa kwake amekaa ndio akili ikawakaa kichwani fuatilieni vzuri
Watanzania tunakupenda na tunakushuru kwa hii sacrifice.
Nchi yako iko nyuma yako siku ya leo.
Nimekusomea dua usiku wa kuamkia leo na usiku huu napoingia kulala nitakusomea tena dua.
The LION OF TANZANIA 🇹🇿
Hivi kuna kitu kinanuka kuliko hivi vimawe vya kooni? hivi ninavivulia kofia kwa kweli,vinanuka sana choo kikasome
Usisahau ⚠️ kupima 🧪 H. Pylori 🦠,dundumio 🦋,mafuta 🩸,sukari 🍬,brusela 🧫. Haya matatizo 😷 ni balaa jipya 🚨 mjini ⚠️.
#doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥