@Cristiano@piersmorgan#WEDESIGNANDBUILD 🚧 👷♂️
KARIBU UJIPATIE
✅️RAMANI ZA NYUMBA
✅️GHARAMA ZA UJENZI
✅️USIMAMIZI NA
✅️USHAURI
DESIGN: 3BEDROOMS
WITH
LIVKNG ROOM
KITCHEN
DINING
PUBLIC WC
KUFIKA SITE:
ITASAIDIA MHANDISI KUWA NA VIPIMO SAHIHI VYA ENEO PAMOJA NA VIPIMO VYA MIINUKO AMBAVYO VITASAIDIA WAKATI WA KUANDAA RAMANI PIA........
ITASAIDIA KUFANYA MAKADIRIO YA UJENZI KWA USAHIHI ILI KUEPUKA GHARAMA ZA ZIADA WAKATI WA UJENZI
#hspdesigns 👷♂️
Yah Allah tunakuomba waja wako Tuepushe na Husda, Tuepushe na Nuksi, Tuepushe na Maradhi, Tuepushe na Wabaya, Tuepushe na Sheytwan, Tuepushe na Majini, Tuondolee Dhiki, Tuondolee Magonjwa, Tupunguzie Mitihani na utukubalie swala zetu. ✍🏾✍🏾
Thank you Chairperson,
Thank you secretary,
Thank you time keeper,
I'm here to oppose the motion which state that ......................................
Is there Any point of interaction!? 😂😂
Ngazi iliyovunjika inakufanya upande hatua mbili kwa mara moja.
Siku zote kwenye maisha vikwazo vinatafsiri ya hatua mpya..
Vikwazo havimaanishi kurudi tulipotoka..
Vikwazo ni tathmini ya tunavyoviendea, si vyepesi lakini vina maana tukivivuka. 👊
Cc: Nyambo
Eweh Mola Wetu Mpe Barzakh Njema Sheikh wetu Al-Marhum Sheikh Abas Eid Ibn Noboka Na Mjalie kheri katika kaburi lake na ifanye Nuru yake ing'are na utujaalie mwisho Uliomwema sisi Waja wako😭
Allahumma Amiiiiin 🤲