@Innocen89950594 Aende mambo ya afya either clinical officer au muuza madawa akimaliza pambana kujitolea kwenye ofisi za watu weka akiba pata mtaji fungua duka lako la dawa utanishukuru baadae, achana na mambo ya education utakufa masikini.
@Innocen89950594 Mtoto kitu gani aisee maisha yako ni ya thamani sana kuliko huyo mtoto wako, tengeneza furaha yako kwanza ndipo akili ya kumlea mtoto wako katoka maadili uyatakayo itakuja, huwezi lazimisha kuishi na nyoka ndani kwako kisa ana mtoto wako.
@kingjulwz@Maestrowafact Tena kauliwa na watu back tu ambao walikua na maduku duku kwahiyo jamaa kutajwa tajwa sio dalili njema kwake, kwanini asitajwe wanu au yule anaemiliki timu ya kikapu. Ukiona unatajwa tajwa jitafakari
@bonifacejoseph_ 600k ni ndogo kwa mwenye nacho ila ni kubwa sana kwa ambae yupo tu mtaani hana hili wala lile, halafu serikalini huko sio mshahara tu kuna posho za semina,kazi za ziada, miradi mbali mbali utalipwa nje ya mshahara ni bora hiyo 600k ya serikalini kuliko 1m ya kampuni binafsi.
@BensonMukombozi@madeinmusoma Tena sasa Sio mshikaji wangu ni broangu japo sikutaka kufika huku ila inaonekana una kichwa kigumu sana kuelewa na sijui unachobishia hapo ni nini, Ukinunua mzigo kwa Mo si unalipia kwa bank namba zake za kibiashara namba yake ya simu ya nini.
@BensonMukombozi@madeinmusoma Endelea kuamini hivyo, sasa mwenzako ana mtaji wa m150 na anafanya kazi na wafanya biashara wakubwa kwanini asipige pesa kiasi hicho na yupo location nzuri, waagizaji wakubwa wengi mizigo kwa kina mo na bakharesa wanatuma kupitia yeye kwa eneo alipo.
@NMachunda50663@HabiibYahyaa Sasa hapo juu hoja yako ya uelewa ni ipi zaidi ya kujibu mihemko yani unafikiri uko sahihi ulichojibu hapo juu hadi inapelelea watu wahisi labda wewe bado huyaju mambo, ikiwa unajiona smart jibu kwa ustadi na sii kwa hisia kama ulivyofanya