Ni muhimu kuangalia affordable housing sio lazima kumiliki. Rental housing is an option na jamii inapaswa kuwalinda wapangaji, kuchochea developers wajenge nyumba nyingi za kuoangisha
@TonnyAdamms@IAMartin_@kitilam Na Hill limekuwa linanisumbua! Iweje nchi, Jamhuri Muhngano Tanzania iingie mkataba wa Intergovernment na kampuni DP World badala ya UAE, Serikali ya Falme za Kiarabu! Ingekuwa sahihinkama ingekuwa TPA na DP World! Lol!
@samuelmway@AnethStanley Ni mapema mno kuanza kukosea. Jumla ya wanaume na wanawake kwa takwimu hizi ni 62,219,290- AMBAYO ni tofauti na jumla kuu iliyotangazwa ya 61,741,120!
@mwanrique@YourFrenchFry Today exactly 24 years ago, the US Embassy in Dar es Salaam and Nairobi were bombed. What lessons? Any reflections considering what is happening around us today? Ukraine! Taiwan! https://t.co/bov1gc7gy5
@OdeoSirari Good job Hassan! But the commentator! Woe to him! Is there a country called East Africa? I m sure if Hassan was a Kenyan, the commentator will have made reference to Kenya and not 'from East Africa'
@Iddykibua@freemanmbowetz Ni vyema kutofautisha kuwa mkweli kwa nafsi ( candid) na mkweli kwa unafiki (cowardice). Nadhani Mh Mbowe amechagua kusimamia ukweli ndani ya moyo wake - honest and candid na sio kwa kuogopa shida alizozipitia na hofu ya kuangukia tena shida zile zile. Inahitaji moyo mkubwa!
@Oleshangay@Lughatah@MariaSTsehai@TitoMagoti Wanasheria watatusaidia hapa! Ila ni MIRATHI, hawezi akadispose bila ridhaa ya wanufaika na nadhani ni lazima apate kibali au aiarifu mahakama! I stand to be corrected!