Kuna Vijana wengi wanapotea kwa kukosa BACKUP kidogo au DIRECTION juu ya nini wakifanye kwa muda huo, UKIPATA NAFASI YA KUSAIDIA SAIDIA MUNGU ATAKUBARIKI KWA NAMNA NYINGINE.
Ukipata usione wengine wazembe jua tu Muda wako umefika.
@chapo255
"Kutokana na takwimu zetu Kanda ya ziwa ndo ina wachimbaji wadogo wanawake wengi lakini unaweza kukuta wenye leseni ni 2 tu kati ya 100, na wengi hawapo kwenye mfumo na hawana sifa za kukopesheka na mabenki".
Salma Ernest, TAWOMA
#JukwaaLaUziduaji2023
Nakumbuka one of My Friend alikua anafanya kazi Mgodini sana na kwakujituma ili kuikomboa Familia yake mpaka siku anafunikwa na Kifusi Duarani. Tunaishi kisha tunaishia. ๐๏ธ
Sometimes Maisha hayatupi tunachohitaji. Asilimia kubwa ya vijana tunapoteza maisha tukiwa katika kuzipambania Familia zetu na watu wanaotuzunguka tunaowapenda. Mara nyingi katika kuchukua maamuzi ya hatari (risk taker) kuna kufanikiwa au kupotea kabisa It's a game.
It's either you win or die. Aliwahi kusema mwanajeshi Mmoja vitani "Nikifariki huku nifungeni kwenye box na mnirudishe Nyumbani mwambieni Mama yangu nilikua katika kuwatafutia". ๐
Tanesco nakupenda Tanesco
Tanesco nakupenda Tanesco
Lakini nifanyeje
Mimi mteja wako
Wanitoroka kila siku
Sijui waenda wapi
Tanesco nakupenda Tanesco
Tanesco nakupenda Tanesco
Lakini wanikataa
Wakatika na kupotea
Kila siku mapema zaidi
Tuachane ee Tanesco.
RT @TriciaAbou: Update ya Majuzuu ๐๐ป
Nimefanikiwa kukusanya juzuu 1250 na Misahafu 20 kwa michango ya watu mbalimbali waliotutumia ๐๐ป
Katโฆ
Njia rahisi ya kujua uzito wako sahihi ni kupima urefu wako kwa CM.
Kisha, unatoa 100, unapata kilo zako zinazotakiwa.
Mf: Una 17OCM - 100 = 70
Hivyo, wastani wa kilo zako ni 70.
Tujitahidi kuhakikisha tunakuwa na uzito sahihi.
Aina tano (5) za SURUALI ambazo mshkaji hutakiwi kuzikosa,
Kumbuka Mavazi yana kutambulisha hata kabla hujasema chochote,
Muonekano wako, utarahisisha baadhi ya mambo au kufanya baadhi ya mambo kuwa magumu.
Cheki na hizi 5 ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
#Uzi๐
1. Official/ formal pant
RT๐
JEE.. CHANGAMOTO YAKO NI MAUMBILE MADOGO? [ KIBAMIA]
Yaani Uume Wako Ni?
@DoctorShogoro
Mdogo
Mwembamba
Hauna Nguvu
Habari Njema Kwako Niโคต๏ธ
Tunatoa Elimu Ya Bure Na Utatuzi Juu Ya CHANGAMOTO Ya Uume Mdogo {Kibamia}
Contact Usโคต๏ธ 0716 426 906
https://t.co/Hwyxd3Ldbm
Hii ndo maana halisi ya Mfalme ๐.
Amepiga show classic sana hakuna kelele wala kukimbia kimbia hovyo uwanja na uwanja mzima umeitika.
Pia DJ D Ommy amepiga back up kali sana kwa Ali kiba. Appreciation tweet kwao wamefanya kazi nzuri saana .