My Round of 32 Predictions:
🇿🇦 South Africa 0–1🇨🇦 Canada ✅
🇧🇷 Brazil 2–1 🇯🇵 Japan
🇩🇪 Germany 2–0 🇵🇾 Paraguay
🇳🇱 Netherlands* 2–2 🇲🇦 Morocco
🇨🇮 Ivory Coast 1–3 🇳🇴 Norway
🇫🇷 France 3–1 🇸🇪 Sweden
🇲🇽 Mexico 2–0 🇪🇨 Ecuador
🏴 England 2–0 🇨🇩 DR Congo
🇧🇪 Belgium 1–2 🇸🇳 Senegal
🇺🇸 USA 0–2 🇧🇦 Bosnia
🇪🇸 Spain 2–0 🇦🇹 Austria
🇵🇹 Portugal 1–1 🇭🇷 Croatia*
🇨🇭 Switzerland 1–1 🇩🇿 Algeria*
🇦🇺 Australia 1–2 🇪🇬 Egypt
🇦🇷 Argentina 1–0 🇨🇻 Cape Verde
🇨🇴 Colombia 2–1 🇬🇭 Ghana
* Team who advance to the next ROUND
What are your predictions?
KUMBUKIZI: Masanja Kadogosa, ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Bariadi Vijijini aliyasema hayo Februari 26, 2024, alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), akizungumza na Waandishi wa Habari kabla ya kuanza kwa safari ya majaribio ya treni ya umeme ya abiria kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Morogoro.
Zaidi tembelea https://t.co/pNzLNt64V1
#JamiiForums #Uwajibikaji #ServiceDelivery
‼️Mipango miovu ya CCM na polisi‼️
Nimepokea taarifa hapa na pale ila chanzo hiki ndo imeeleza kwa kiina kile kinachosemwa kipo ktk mipango ya mafedhuli dhidi ya CHADEMA
Vijana kupewa silaha na kujifanya wametumwa na Chadema! Ujinga na upumabvu ila ndo wamekomea hapo kiintelijensia!
Kwa mujibu wa mtoa taarifa Walikuwa Morena hotel wakipanga na jana wakati wa giza nene ndo walikuwa wanasambaza vitu
Picha za ushahidi nimehifadhi kwa sasa
Haya ndo mambo yao - ushenzi mtupu!
Plot to implicate opposition CHADEMA in a false flag event! The police and CCM are planning to give weapons to 20 young men in every region then claim that they were armed by Chadema - to prove their stupid lies that #TanzaniaMassacre in October 2025 was done by opposition
#SamiaMustGo #CCMmustgo
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Ujumbe Kutoka Kwa Jemedar Said Baada ya TANESCO Kutoa Taarifa ya Hitilafu ya Umeme Katika Gridi ya Taifa…!
✍️👇
🗣️“Daah aisee..! Ila kuna wakati hii nchi inabidi tujihurumie tu aisee. Niko Morogoro Railway Station narudi Dar, SGR ya saa 1:25 usiku hawajondoka na sisi wa saa 2:30 tupo hapa, halafu unaona tangazo la TANESCO @tanesco_official_page unajiuliza kufanya kote booking tangu juzi urudi saa 2:30 ili uwahi shughuli zako ndoto zinafia hapo. Tunahitaji kufanya kitu kama Taifa hii sio poa aisee..!”
#MeaMswahiliUPDATES