@MfalmewaX1 Kwenye hatia vi ya @dizastavina anamuuliza Mungu alikuwa tulipopita miaka 400 ya utumwa njaa, mateso , giza nene. Tunatakiwa tujitathmini hii Miungu yetu imetusaidia nini mpaka sasa.. tutajifunza kuwa humble tukigundua tumeumba wenyewe hii Miungu pia tumeumbiwa na watesi wetu