@babbiekabae Let's make hope, nashindwa kutaja majina ya watu hapa lkn elimu ha hii inahitajika, me hapa am confusing aunt angu, ametoka kuniambia nisiende kuswali kesho, km leo nimeshindwa bas nishukuru tuu, what is this??
Formula ya Kubadili Maisha yako Ndani ya Miezi 6 Pekee ๐ซก
Kwenye kufanikiwa hakuna ujanja ujanja.
Unahitaji kuishi kimakusudi kwa kujua maisha yako A-Z.
Hii hapa formula itakayokusaidia kubadili maisha yako.
RETWEET Wengi Wajifunze!
๐งต
@keshoyakoOG@millardayo Yes, nadhani haya yamekuja baada ya kuendelea kupiga kelelee kila siku, so yawezekana Kuna mahali walikosea usikute wanakiri katika mioyo yao. Ndio maana wanaanza kujibu hoja za wananchi na kueleza vipengele kwa vipengele. Ni muendelezo mzuri wa nguvu umma.