@mzeewauvinza NIngekua waziri wa michezo ningewaambia stars wauze hii game😅😅waachie wafungwe kisha serikali itoe bilioni 50 kwa maafisa ubashiri wafate hizo odds na watarudisha pesa ya mtaji waliyopewa na itarudi serikalini
@BarakaMaviatu Hapa ndo nashtuka kuwa hii dunia kumbe wala sio ya zamani, imagine wakati tunapata Uhuru 1961 watanzania walikua kama 10m ,leo 2026 tupo kama 67m , jiulize miaka 50 kabla ya Uhuru tanzania ilikua na watu kweli? 😂😂
@maxdroff Demu alimwambia mwanangu ambae ni boyfriend wake kuwa mimi namtaka na haikuwa kweli, hapo tunaishi nyumba moja mimi na mshkaji na demu wa mshkaji dah nikanuniana na yule miezi 3 ,one day sijui nini kilitokea tumebaki home mi na yeye dah niliichapa kwa hasira
@VKaanaeli@visitmarangu@Gaspinho15 Sasa wewe unaijua mrijo na unasema haijulikani? Hujatembea hii nchi wewe ! Ukiambiwa utaje bushi mbwinde kabisa mrijo utaitaja!? Si ni town kabisa pale kwa warangi