#TajiriLaKihaya
Hebu ita manzi yako…
Muombe unataka ku Request Bolt kutumia simu yake…
Then angalia BOLT history yake🤣😅😂
Hizo hotel alizoenda hata wewe mwenyewe unaweza kufa haujawahi kanyaga hata getini😅😂
Hello Twitter Family, Asalam Aleykum😊Alhamdulillah Tumekuwa NOMINATED! Asante kwa vote zenu za awali…Naomba dakika zako chache tu ubonyeze link 👇unipe VOTE yako https://t.co/oiD1aa72MA
Nomination category: MAKEUP ARTIST MBOBEVU
Nomination name: MINAHS BEAUTY STUDIO
Bi-idhnillah, kwa Kura zenu nitakuwa part of watakaopokea hizi awards 4th July, 2026 ❤️🥰🤲🏽Ahsante sana #glammedbyqueeenminah
Double knots bangle available
Stainless steel
Very good quality 🔥🔥🔥🔥
Sweat/water proof
Available for 25,000tsh per bangle .
Unavaaa hizi mpaka unazichoka hazipauki , utaogea mpaka basi.
We are delivering 🛵
📞/ txt us : 0767509629
GnZ tambeni ila kazi kubwa millennials wanaifanya ni kuhifadhi tweets na ku screenshot tu,
Mkija na control number za kukwama ada,bills za chuo na kukosa mishe mtafuraishwa.
Thank you for being with me all this time — it’s been a wonderful journey full of all kinds of joy and excitement. You are the best and deserve nothing but the best! Thank you, I love you. ❤️
Humu ukisema Wachaga wanajua kutafuta hela sababu ya Culture yao hakuna mtu anasema unatweza makabila mengine, ila ukisema kuna maeneo wakitoka leaders wanakua na Culture ya Leadership na kusimamia vitu inakua nongwa, unaitwa mdini.
Kwani kuna tatizo kuzidiana? au kutofautiana?