Mei hii, tunaangazia sehemu 5 muhimu za uelewa wa saratani. Uelewa husababisha kuchukua hatua na hatua huokoa maisha.
👉 Mtumie rafiki, ndugu au mtu yeyote muhimu hili ili kueneza uelewa zaidi wa Saratani.
#oncointelligence#CancerAwareness
Ila maisha hhh, wakati huo vijana wa MUHAS ilikua mapema sana Azania, wakifika second year wanaachia hilo chimbo kwa First year. Mwendokasi MUHAS sijui bado upo 😁
Nakumbuka wayback nipo Uni nilikua natoka na wanangu maandishi matatu hadi MUHAS kupata wali utumbo wa 800😂😂
Boom lote unadedicate kwenye mavazi😂 unabaki na budget ya msosi kama 1500 kwa siku😂
Hapo ni wali utumbo na “maji makubwa 500”
MUHAS remains unchallenged!
Ranked the No. 1 University in Tanzania by the Times Higher Education (THE) World University Rankings 2026, where excellence in health sciences leads the nation.
MWEZI WA UHAMASISHAJI WA SARATANI YA #MATITI 💗
Oktoba hii, hatuamshi tu uelewa pia tunaunda ujasiri kwa #MASHUJAA
Pink Connect inakuja na tunakuita kujifunze ukweli unaoweza kukuokoa maisha, Kushiriki #maarifa na kuchukua hatua ya uchunguzi wa mapema
#PinkConnect