@SimbaSCTanzania Simba sio timu ya kusare na mashujaa. Hebu ifike mahala tengenezeni timu yenye vijana wenye kasi na ufundi wakutosha. Hawa aged players walishapitwa na wakati. Kuna vijana wengi wapo tim tofauti wana uwezo mzuri sana.
@Mr_threeofee@MsomiKhan18 Ukija jichanganya umeisha, yaan kuna dada kaachika hapa jiran ila ananiambia baba wa mtoto wake hata atishie kumuua ila hamuachi