Uliupeleka mwenyewe mpaka ofisini,kama ulimpa boda wako una uhakika box lilifika na mzigo, hakuna namna mtu atamiliki milioni 400 aibe mzigo wa samaki au dagaa, wala hakuna konda ataiba ili aharibu kazi yake ya kila siku,na sio vizuri kuharibu brand ya watu kisa box la dagaa!
Tumeshuudia kila kiongozi wa iran aliwahishwa haraka kupokea mabikra 72.
Kwa sasa nchi ya irani inaogopa hata kutangaza huyu ni kiongozi gani maana kwa mashambulizi wanayo pokea mpaka nyumbani kwao na familia zao wameona kuishi kwa mtindo giza.😅😅
Wafanyabiashara acheni uhuni jaman mnaua brand wenyewe alafu mnakuja kujiliza kisenge senge humu, ile ya ardhi sio issue ya kwanza ni almost ya tatu sasa ina maana makonda wa mabus wanakula dagaa zake yeye tu 😅😅aaagh sio kweli
Unajua kwa nn Mbowe hadi alipewa kesi ya Ugadi ila mlevi Martin kama hagusiki hiv?
Unajua siku Bonge anakamatwa alikua na machinga ila machinga aliachwa?
Unajua kwa nn Lissu anaandamwa yuko ndani ila Mlevi Martin hata polisi haiitwi
Anyways najua hampo tayari kwa huu mjadala😅
Mmoja amwambie huyu kahaba asiyejua kusafisha uchi kuwa watanzania sio waoga bali wamechagua ustaarabu, hizi kejeli za kisenge ndo zinawafanya watu waoneshe makucha waliyoamua kuyaficha kuma la mamaake huyu kiboko
Anyways wakali tutadai haki bila kuchoma nchi yetu big up sana
Watoto wa Lema wako majuu wanakula bata majuu huku wakiburudika na kabumbu la kombe la dunia kwenye viwanja mujarabu, ila kuandamana wanataka tuandamane sisi watoto wa kanjunju mere ambao tu humu humu MZIZIMA 😅😅😅😅
Kumbe wamegawanyika kuna wanaoside na majanja hawa ni wa chiniwalala hoi na kuna watiifu kwa wanufaika, yani wanaoside na majanja wanadai wanene wanakula peke yao urojo huku wao wakilamba ukwaju, na wanene nao mkono wa kaisari umewapendelea wanakula mema balaa
Ni kasheshe 😅
Asengwile wakali mwenye masikio na asikie
Wataalamu wa maswala kina Chura wamesema, Waziri kasema, Waziri mkuu kasema na mwisho kabisa wakali wa medani JWINGA nao wamesema
Kupanga ni kuchagua