Narudia kauli yangu ya jana:
👉Vyama vya siasa hasa upinzani wekeni mkakati wa kuwa na watu wenu ndani ya system za usalama
👉Itawasaidia sana kuwapa habari sahihi na kwa wakati kuliko ambavyo jambo hili mmefichwa toka juzi lilipotokea
👉Ombeni uchunguzi independent wa hiki KIFO
@Mshambaflan Mpaka inafikia hatua mtu anasepa na sanduku la kupiga kura, polisi walikuwa wapi? Na wananchi wengine waliokuwa kwenye folen ya kupiga kura wameangalia tuu?