Alitibu wenye Ukimwi,
Alitibu wenye cancer,
Alitibu wenye vipara,
Alitibu wenye kisukari,
Alitibu wenye pressure,
Alitibu wasiopata watoto.
Wamarekani walitaka kumfunga kwa kujitangaza kuponya Ukimwi.
Wakamwambia athibitishe.
Wakampeleka mahakamani.
Akapeleka mahakamani lundo wa raia wenye vyeti vya kukutwa positive na baadae kukutwa negative baada ya matibabu yake.
Akathibitisha mbele ya jaji kuponya.
Wakamwachia huru.
Hawakuishia hapo.
Wakaendelea kumsakama.
Hivi ndivyo wasema ukweli na wanaojua siri nyingi huishi kwa taabu na muda wote huwa na roho mkononi.
Hatimaye Alipoteza Maisha akiwa Mikononi mwa Polisi.
Huyu ndio baba wa chakula dawa.
Mwamba kweli kweli.
Anakwambia magonjwa yote chanzo chake ni kimoja tu. Mkusanyiko wa ute ute (mucus) kwenye eneo la ugonjwa.
Na tiba ni moja tu, kula vyakula vyenye nguvu ya alikali.
Mwamba kweli kweli,
Si mwingine ni nguli,
Dkt.Alfredo Darrington Bowman
A.k.a Dr. Sebi
R.I.P
🫡
UJUMBE WANGU KWETU SISI VIJANA
Kwa kila aliyepata nafasi ya kupata rafiki mpya katika mazingira ya stage yeyote ya urafiki. Basi tujitahidi kuulinda,Kuutunza,Kuuheshimu ili kusudi Tufikie lengo/malengo ya urafiki wetu tunaowekeza. Mungu Baba wa Mbinguni awalinde na Awatunze