@Labella_Mafia95 Anaujua sema tatizo mwamnyeto ndio mchawi mpila hajui na bado anaroga ili jamaa asicheze lakini manyeto hamna kitu😂😂😂😂😂yaaani sawa na simba yule baleke anarogwa na bocco😂😂😂ili baleke afanye vizuri bocco aondoke na ili Gift afanye vzuri basi uyo manyeto asepe au asugue