Understand the concept of CAUSE & EFFECT and/or ROOT & RESULTS
This is the time of showing unequivocally where you stand, and not give enigmatic quotes. It is not about politics or politicians; it’s about humanity & rights to live.
Usihubiri AMANI, kwenye jamii isotenda HAKI..
“Aisee, nimetoka kuongea na wenye nyumba hapa nimepata ufafanuzi kidogo kuhusu hili tukio. Wenyewe wanasema hivi;
“1. Sio kweli kwamba nyumba yao inaungua, hayo ni majungu tu ya majirani zao wanaowaonea wivu kwa sababu wao ndio wenye nyumba bora mtaani
“2. Kile kinachoitwa "moshi", kiuhalisia ni mvuke utokao kwenye sauna yao ya ndani - kwa mara nyingine tena wanapenda kukumbusha kwamba nyumba yao ni bora zaidi mtaani
“3. Aidha, walikua wanachoma nyama yenye mafuta ndani - kwa hiyo mafuta yakidondoka kwenye moto ndio inaonekana kama moto ni mkubwa, na moshi wa hapa na pale unaweza kuonekana. Wanawaambia majirani kwa ukarimu kabisa wakaribie kula, waache majungu kwa sababu wao hawana nyama.
“4. Nasikia watoto wananong'ona nong'ona kwamba majirani wakija waje na maji, sasa sijajua kama ni ya kunywa au ya kunawa”
Cults za kina Bushiri na Uebert Angel zina-revolve around:
1. Health - wanafanya biashara ya healing
2. Wealth - ukijiunga na sisi, "mungu" wetu atakupa utajiri
3. Miujiza - ni kivutio, inaonyeshwa na kusemwa kuliko Yesu
4. Inspirational talks - wanazijua nyakati - watu wengi wako depressed. Dawa? Wauzie maneno ya faraja.
Ukweli:
Hizi ni pyramid schemes: 'anayewaponya' yeye mwenyewe ana health insurance ya hospitali za Ujerumani, India na Canada. Wanaotoboa ni walio karibu na tip ya pyramid tu. Sehemu ya chini ya pyramid ambayo ina watu wengi wanaojaza hizo stadiums, bado ni maskini wa kutupa, ni wagonjwa na wenye mahangaiko tuliyonayo mimi na wewe. Wanachotuzidi tu ni fanaticism inayobebwa na sense of belonging.
Mwisho:
Ukikaa vizuri na Yesu, unapata vyote. Wahubiri na mahubiri yao hawatakusumbua. Roho Mtakatifu atakupa neno la uzima, la kutosha kuikamilisha safari yako hapa duniani. Mungu atakupa watu sahihi, wakati sahihi.
Kaa kwa Yesu.
I am asking out of genuine curiosity:
What exactly is the core model of the global medical sector?
Are they in the business of promoting healing and health or sustaining sickness and dependence?
And if so, what does sustainability look like for an industry that profits most when people stay sick?
NI wajibu wa kiongozi ktk ngazi yoyote, familia, kanisa, nyumba 10, mtaa, supavaiza, mwalimu, mheshimiwa, n.k., kukemea maovu. Ni lazima kiongozi akemee maovu na sura yake ioneshe anachukia maovu. Haijalishi yanafanywa na watu wa nyumbani mwake ama la. Na kiongozi kukemea maovu haimaanishi wewe huna doa.
i’m addressing this tweet to my kenyan comrades: ignore the noise by the buffoons taken for MPs. we don’t have MPs in tanzania. unlike you, we don’t have elections. so no one speaks on our behalf. the so called MPs are CCM, the ruling party, nominees. and they’re stupid!
Hata ndege mkubwa Tai ili aweze kurejesha ari, nguvu, uimara na uwezo wake mwituni hana budi kupitia maumivu makali kujitoa manyoya, kugongagonga mdomo wake kwenye mawe ndipo anapata upya wa kustahimili mwituni.
Je wewe unasubiri nini ili ufurahie maisha?
Upate utajiri
Upate mme/mke
Ujenge
Umiliki gari
Upate watoto
Upate kazi
Urithi
Uwe na cheo/madaraka
Uwe na afya njema
Usafiri ulaya
Umiliki biashara kubwa
Uwe maarufu/mashuhuri
Eti unangoja nini hasa?🤔
Waheshimiwa @bwaya na @Udadisi , nadhani nimwalike na Mwl. @MabalaMakengeza , video ya hoja ya Mheshimiwa Shamsi Vuai Nahodha hii hapa.
Ina mengi sana ya ku-unpack na kujadili, kwa mapana na marefu. Kuna mambo kadhaa ameyasema;
1. Amejenga hoja kwamba ili kupunguza msongamano mkubwa wa wanafunzi madarasani, haswa kwa shule za msingi, kuwe na utaratibu wa kuwagawanya wanafunzi (std 4+) kwenye makundi mawili. Wakati kundi la kwanza linasoma darasani, kundi lingine liwe kwenye ukumbi linaangalia video, kusoma vitabu, kufanya extra-curricula, etc., kisha baada ya muda wafanye rotation.
2. Ametoa hoja kwamba kuna vitu vingi irrelevant vinavyofundishwa wakati huu kiasi kwamba mtoto haoni uhusiano wa moja kwa moja kati ya anachokisoma na anachokutana nacho kwenye maisha yake ya kila siku, mifano ikiwa quadratic equations na periodic table.
3. Ametoa hoja kuhusu wingi wa masomo na masomo ya ziada, huku akidai kwamba hayana tija na pengine yanadumaza makuzi ya watoto.
4. Ametoa hoja pia kuhusu uchaguzi wa masomo na umuhimu/ulazima wa kila mtoto kwenda kidato cha sita. Anasema ni muhimu watoto wengi waende diploma na kuanza kusoma ubobezi mapema, huku akitoa mfano wa approach ya familia za kihindi.
5. Ametoa hoja kuhusu umuhimu wa michezo pia na kuchagiza watoto waachwe watoke nje wakacheze badala ya kufungiwa ndani na TV muda wote.
Nadhani ni hoja nzito zinazomerit mjadala mpana. Hata hivyo amenishtua pale mwanzo aliposema mapendekezo yake hayaongezi gharama yoyote.
Kwa mfano, kwenye hoja ya kugawanya wanafunzi kwenye makundi mawili na kufanya rotation ili kupunguza msongamano, najiuliza kama mheshimiwa anafahamu kuwa japo wanafunzi wa primary wameongezeka kutoka milioni 8 mwaka 2015 mpaka milioni 12 mwaka 2024, idadi ya walimu imepungua kutoka 196,00 mwaka 2015 mpaka 172,000ish mwaka 2025??
Lakini pia mheshimiwa anafahamu kwamba shule nyingi hazina kumbi za mikutano, vitabu vya kiada, etc?
Anahafamu kwamba mpaka kufikia mwaka 2023 kulikuwa na TV 676 tu kwenye shule zote za msingi za umma Tanzania ambazo zipo zaidi ya 17,000???
Nadhani ni muhimu uhalisia huu ukawa sehemu ya hoja yake.
Karibuni!
On realization that 🇹🇿 we are in one busket of world least developed countries (LCD) and the economic gap between our leaders and us citizens is heartbreaking.
Kwangu Dini ni jambo zuri ila Afrika Dini.. tunatumia muda mwingi kukaa kanisani kuliko kufanya kazi, ukijua namna Mungu anafanya kazi kila mahala ulipo ni sehemu ya ibada.