@EsirEid Vijana wa betting wana matusi mpaka unajiuliza hawa ndio political activist. Au wanatafuta umaarufu ili kuendelea kupromote hizo betting booking codes
@ally_eh Hata kudeposit kutoka mpesa to paypal bado kuna changamoto nimejarubu toka last week wamenikata hela ila kwenye paypal hela haijawa deposited nikiwapigia voda wanasema wanashuhulikia na ni wiki sasa
@WonderfulJohnx ZackD Films would never get demonetized for something like thisโonly for more serious reasons. Once youโre that big, thereโs always room for second chances. Even if a channel that large did get demonetized, it would be huge news and YouTube support would respond very quickly