Kabla hujafanya maamuzi jitahidi kupata ukweli wa jambo kutoka pande zote. Leo hii watoto wengi hawana mahusiano mazuri na baba zao kwa sababu ya kusikiliza ufundi wa mama zao katika kusimulia mabaya ya baba zao. Huyajui ya mama yako kwa sababu baba yako alichagua kuyaficha.
Mayai mayai mayai namaanisha mayai ya kuku wa kienyeji ndio ya afya kwa watoto... Usimpe mtoto wako mayai ya kuku wa kisasa.
Mayai mwisho ni matatu kwa wiki wamama usimpe mtoto zaid ya hapo...
Hakikisha mtoto wako anakula kwa afya sio ili mradi anakula.
#LisheBoraNiMtaji
@SuphianJuma Hakuna Nchi ambayo haiitaji mashirikiano na Nchi nyingine,ila utambue kwamba Nchi hizo zinashirikiana kwenye pembe ipi linapokuja swala zima la maendeleo
Kila Nchi iwe na misimamo yake pale yanapokuja maswala yasiyofaa katika mashirikiano ayo ikiwemo kusaini Kila mkataba
@SuphianJuma Tanzania Ni Nchi Ambayo Inaweza Kuendesha Mambo Yake Pasi Na Kuingiliwa(sovereignty country)
1/swala kusaini Kila mkataba kisa tu ni mahusiano ya kimataifa ni🚮
2/Tanzania sio Nchi maskini, Nchi maskini ni Ile ambayo inatumia Kila mbinu kuinyonya Nchi tajiri Kupitia MISAADA.
Ifike wakati Kuhitaji Mafanikio Usiangalie Yule Ambae Ndo Tegemezi Kwako,Fanya Maamuzi Haraka Kuleta mabadiliko Kwa Haraka,Wategemezi Wapo wengi Ambao wataheshimu,Watathamini na kufanya kazi kwaBidii na ubora zaidi
#ChukuaHatua
Jamaa Bado yupo nyuma na Anafikra zilizokuwa hazina ncha,
Anatakiwa atambue kwamba Misingi ya Mungu inasema Nini kuhusu huu upuuzi,pia atambue kwamba Dunia ya sodoma na gomora sio ya Leo ambayo Kila kitu kimeadvance ,hivyo wanaopush agenda ya LGBTQ wanatumia pia njia za misaada
Unazidi kuonesha umepotoka kiasi gani. Kwahiyo kwa kuwa dhambi ilifanywa miaka na miaka tusikemee? Wewe si mkristo? Mambo ya walawi tumeonywa kuhusu hii dhambi? Je ni kosa kukemea dhambi ? Ni kweli binadamu sio kuku ila Mungu kaumba mtu mume na mtu mke na akatutuma tuakazaliane.
Furaha kubwa aliyoipata baada ya kuona wizara ya kilimo iliyo chini yake imepiga hatua na kutambulika zaidi kiukanda na kumtoa machozi,
Funzo;
Tuendelee kuweka jitihada zaidi katika sekta ya kilimo Kwa watu wote na makundi yote kuweza kufikia malengo makubwa zaidi kimaendeleo
Waziri wa Kilimo wa Nchi ya Benin Ndugu Gaston Cossi Dossouhoui atoa machozi baada ya Nchi yake kutangazwa kuwa ni nchi kiongozi kwa uzalishaji wa zao la Pamba kwa ukanda wa nchi za Magharibi mwa Afrika.
Hii ina maana gani Mdau wa Kilimo weka comment hapo chini. #KilimoNiAjira
@MalemboIntern
@MalemboFarm
—@MalemboLE
Hawa ndiyo feminists ambao wanatumia mawazo yao na Maisha yao yasiyo na maadili wala busara kwenda kupoteza kundi kubwa la wanawake
Nadhani yupo kimkakati kusogeza agenda zisizo za msingi Kwa maslahi yake binafsi na sio kwa maendeleo ya waafrika na watanzania Kwa ujumla
Huyu mume alie achana nae ana kila kitu ni mmiliki wa zile hospital za premier care lakini aliachika, ndio maana hakuna mwanaume anaeweza kuishi na @fatma_karume kwa ujinga huu
Mshahara ndio Nini kwamba mwanamke ashindwe kumuheshimu mumewe, Ni laana tu subirini mufe vinywa wazi
Hii Ni sababu ambayo Inafanya wanaume wengi kutumia muda mwingi kumfanyia research mwanamke kuona kwamba anafaa kuwa mke Bora au lah...Mana vizazi vya kike vya kipindi hiki wanaona Maisha wanayaweza wao wenyewe pasipo kumtegemea mtu Aitwaye Mwanaume
“Ukimuuliza Mwanamke kwanini anatafuta Fedha kwa bidii, anakujibu "Ili niishi maisha yangu bila kumtegemea Mwanaume."
Ukimuuliza Mwanaume anakujibu "Ili niwe na Familia bora na kusaidia watu wengine."
Inasikitisha sana kwakweli” 🚶🏿♂️
Mwanamke Bora upatikana Kwa Kipimo Cha Kujitambua na Kuthamini Uwepo Wa Mtu Aitwaye Mwanaume pasipo kuathiliwa na Aina yeyote ya utajiri au mali zilizopo baina ya wawili hao
Mifumo ya Maisha isipoteze taswira halisi ya mwanamke wa kiafrika katika maadili na heshima Kwa mwanaume
Wajukuu zangu Bibi yenu Mzalendo wa kweli kesho nitakuwa Dar kuunga mkono kazi za Wana habari Nchini, mkutano huo utakuwa mubashara kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, karibuni naamini lipo jambo mtajifunza. Komment zenu zewe nyepesi nyepesi basi wajukuu ee
Jamii yapasa kutambua mtoto wa kike ndo kiungo muhimu katika maendeleo ya uchumi wa Taifa katika nyanja nyingi, Kuruhusu mtoto wa kike kuolewa umri mdogo ni kukatiza ndoto zake na kuongeza wimbi kubwa la umasikini pale palipo na umasikini
Pia kuleta athari nyingi za kiafya Kwao
Tukiogopa kukemea haya sababu ya dini siku zijazo tusimtafute mchawi nani.
Kemea ndoa za utotoni sababu zina athari kiafya hata kiuchumi. #TokomezaNdoaZaUtotoni
Kama afrika na Kama Taifa hatuna Tamaduni za Aina hizo,Hizo ni sheria zinazopitishwa na Watu Kwa ajili ya kukidhi matakwa yao na sio kubagua tu Bali Ni Mambo ambayo hayastahili kuonekana katika Mgongo wa Ardhi
Kwa hivyo ukitaka heshima kwa vijana wa Afrika unalazimika kubaguwa binadam mwenzako kwa madai potofu kuwa ni mila na desturi ya KiAFRIKA?
Hamumjui Malema! Aliwaambia wapiga kura wa Afrika Kusini hataki kura zao kama watabagua waAFRIKA wenzao.
Huyu yuko kwenye level nyingine.
Watoto wa Kike ni Taifa Ambalo Lenye Uwezo Wa Kufanya mapinduzi makubwa ya maendeleo katika ulimwengu,
Kuruhusu kuolewa wakiwa Bado Na Umri mdogo Kwa Kupitia kigezo Cha makubaliano ni kuongeza wimbi la umasikini pale palipo na umasikini .
Elimu ni uwezo wa kuweka ubunifu na kutatua changamoto
Sayansi na teknolojia ni mojawapo ya mabadiliko makubwa katika pembe ya ubunifu,
Jamii ya walimu iwezeshwe kupokea bunifu hiyo ili kuweza kuipa jamii ya wanafunzi mbinu wezeshi za kuendana na nyakati katika nyanja zote