City motors Tanzania limited which is under the KARIMMJEE GROUP in the energy division a sister company of TOYOTA Tanzania and the latest offering of KARIMJEE
Kuomba radhi mtu si udhaifu wala unyonge, usikubali siku ipite kama hujawekana sawa na mtu uliyekosana naye. Uhai si katika vitu tunavyovimiliki hivyo hatujui nani atatangulia kati yenu hivyo usione shida kumtaka radhi uliyemkosea. Umauti utia fedheha kwa waliogombana. JISHUSHE✍️
UKICHAGUA KIWANJA KWENYE RAMANI HII NI HATARI.
Kama umetumiwa ramani hii ya upimaji kwaajili ya kuchagua kiwanja na kampuni au mtu basi ujue kabisa HICHO KIWANJA HAKIJAPIMWA na HUWEZI KUPATA HATI MILIKI vile vile unaweza kuwa unanunua katika eneo la wazi,eneo la barabara,eneo la shule NK.
Watu wengi mmekuwa mnioneshwa ramani za viwanja ambazo sio halali ambazo hazitambuliki na serikali(wizara ya ardhi).
Ukiona unachagua kiwanja katika ramani kama hii chini basi ujue unanunua kiwanja ambacho hakijapimwa.
Ramani ikiwa wazi katika gaps nilizozungusha na wino mwekundu ujue hiyo ramani haitambuliki na serikali hivyo bado hapajapimwa.
@fumbokhanJr@fumbokhanJr samahani lakin hivi unafaham kisa cha watu wa pangoni je walikuwa na mbwa au hawakuwa na mbwa na je walikuwa kipindi mtume yupo au hayupo???
Wanaume,
Ukimuelewa mwanamke mfungukie, usimuogope kwa cheo chake kwamba ni mwanasheria au mbunge..
Wanawake wanatafuta kitu kimoja kwa Mwanaume.
Usalama wa Hisia zake.
Brother, Mwanamke anayekuambia ratiba zake za kutwa nzima hajipendekezi bali amekupa thamani.. ❣️
Anataka kwenda popote anakupa taarifa ikibidi anakuomba ruhusa hakika usiwahi mchukulia kawaida hata kidogo..
Huyo ni mali tena mali adimu kwa nyakati za hivi sasa katika wanawake tulio nao..
Moja ya ishara ya Mwanamke anayekupenda ni kukupa mamlaka juu ya ratiba zake 🔥
Jali, thamini. Heshimu na mpende sana kwasababu amechagua kukupa dhamana ya mwenendo wake.
Mtunze na kumlinda ili asichoke kujikabidhi chini yako siku zote. ❤️ 🫂