∆ .UTAJIRI sio kiasi alichonacho mtu bali utajiri ni Maarifa na ufahamu alionao mtu kuhusiana na fedha
∆ .Wewe unaelewa nini kuhusiana na utajiri ??
∆ .Niandikie kwenye comment ni jifunze zaidi .
@millardayo 1. Haki ya kuishi, watu wanatekwa na kuuawa kila mara e.g Mdude, Chaula, Soka, Kipanya n.k.
2. Uhuru wa maoni. Mtu akikosoa tu anauawa, mmekuwa Miungu watu.
3. Fursa za kiuchumi ikiwemo ajira.
4. Usawa ama kuondolewa kwa matabaka. Wanaopewa fursa ni familia za viongozi tu n.k.
#TajiriLaKihaya
Twende mbele Turudi Nyuma…
Hata kuisikiza SPEECH tu …
kutenga muda wako kuanza kuisikiza au kuanza Kuijadili ni USALITI kwa Vijana wenzio…
Amini nawachana💯
"Itaanza Kunyesha Mvuaa, kisha jua litawaka afu kutakua na UKIMYA MKUU hakutakua na mawasialiano wala internet.. Majira ya Saa Moja jioni kutakua na maandamano makubwa sana ambayo ata polisi hawatajua yameanzia wapi" Nabiii
KURASA ZANGU ZOTE ZIPO TAYARI KWA KUPOKEA TAARIFA KUTOKA KILA KONA YA NCHI.
NIPO LIVE KWANZIA SASA MPAKA UKOMBOZI UPATIKANE. NITAJIBU JUMBE ZOTE ZA KUHUSU HALI YA MAANDAMANO ENEO ULILOPO TUU.
TUTAKUWEPO🫵😎
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN
MAKE TANZANIA GREAT AGAIN