Mgombea wetu wa kimataifa
👉alipokuwa Mbeya alimuomba Sugu amsugue kwelikweli
👉alipokuwa Dar kasema yeye anahudumia wanawake weupe kwa uharaka zaidi
Polepole kaa na mtu wenu achague anataka kuanza kipi! Kusuguliwa au mambo ya weupe? Tunataka tuwe organized kwenye maombi yake