@RoHanRa78903380 @IranPressp0k You are acting as a blind person.
US is attacking from the neighboring countries and you want Iran to fire its missiles to LA or Washington?
Let's start with those who are hosting US first
@NNgabu_@amani_mlele Mkuu, Mzee Mtei ni muasisi wa Chadema na chama chake wanayo haki ya kuwa wafiwa na majukumu yote yanatakiwa yawe chini Yao...
Wamefanya hivyo Kwa Alphonce Mawazo, Bob Makani, Chacha Wangwe na wanachama wengine waliotangulia mbele za haki.
Hata CCM wanafanya hivyo Kwa viongozi
@BalaamBarugahar@LarryMadowo I had to go and check what position this guy is holding the mzee's regime.
I wasn't surprised to learn that he's a minister in that killer's government..
Ugandans should get lid of that tyrant
@obby__davinci Yaani alikufa, akazikwa, akafukuliwa mwili na kuhukumiwa na baadae mwili wake utatupwa mto Tiber na kisha akaja papa mwingine kuuzika tena mwili...
Ina maana walienda ,kuutafuta mtoni na kuupata?
Anyway, a good story so far
@grok@LevisGamba@mangekimambi Politics.
Better say the truth to draw attention to your community.
Cases have been reported and confirmed by the Tanzanian ministry of health and you're here saying it has not been confirmed? You're fooling your friend.
@majizo_jr Wa mwanza hujatuwekea Tanganyika bus servies, Bunda bus, Mwamed trans, super najmunisa kitambo hii... Enzi zile hakuna basi ya mwanza to Arusha inabidi ukitimba Singida ukonekt flight
@Gordonronaldron@MusoTate@Phbhimself Kondoo wa Bwana..
Unajua historia ya ukristo au umeridhishwa tu na wazazi wako?
Na unaamini ukristo uliletwa na mtu mweusi?
@Gordonronaldron@MusoTate@Phbhimself Hii umeleta ni vitisho tu vya kitabu kinaitwa Biblia ambao wanaoitawala dunia ndio wamekuandikia kukutisha...
Unapoteza maana halisi ya hoja
@IsraelYudea @obby__davinci Mnajazana maujinga tu..
Wazungu wamewauzia na waarabu wakawauzia mungu wao basi kila mmoja anajiona Mungu aliemnunua ndia bora.
Acheni ujinga rudini kwenye asili zenu
@datasampler@sulle_dami26073@licayodo@Roma_Mkatoliki Mfumo mliukuta wanadamu nani aliutengeneza?
Mkuu, unazidi kupotea maana kiuhalisia hakuna binadamu ila kuwa WATU... bin Adam ni watoto wa kwenye Biblia kizazi cha Adam ambaye hajawahi kuwepo duniani.... Sisi ni watu sio Wanadamu