Kaka ila hawa @africable wamezidi unyanyasaji hawafati utaratibu hata mishahara wanatoa mkononi na mwingine wanaweka kwenye account sasa sijaelewa kwann wanafanya hivi kaka
@Africable @kilimanjarocable acheni kunyanyasa wafanyazi wenu, hamlipi mishahara kwa wakati na bado mnawakata bila sababu, na wafanyakazi wanaoingia night hamuwapi posho. Mamlaka husika serikali I tunaomba mfatilie hili.Aione @TZWaziriMkuu@bajabiri
@tanescoyetutz Daah @tanescoyetutz wilaya ya Korogwe mnazingua sana, wacha tuendelee kukaa bila umeme siku mkijisikia kuja kuunganisha waya mje hata mwakani, tumechoka kufatilia kila siku kwenye ofisi zenu kama mafundi mnataka pesa ili mje kutengeneza mtuambie. Inakera sana
Eight years ago today I was made a Prohibited Immigrant for no valid reason.
For 2,922 painful days I have missed many Tanzanian friends and the orphans we are supporting. These orphans have since lost Tshs 6 billion ( £2m ) in education support
When will this nightmare end ?
#HABARI Mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari Sabasaba, Manispaa ya Mikindani mkoani Mtwara, Amina Ally, (16), anadaiwa kufariki dunia baada ya kupigwa na mwalimu wake kwa kushindwa kujibu swali darasani, na kupelekea kudondoka na kupoteza fahamu