@HildaNewton21 Arresting both TAL & Heche before October29 was and still is a blessing in disguise. Imagine both wangekuwa uraiaini jinsi wangeangushiwa jumba bovu or even worse.
@SalimuIbwe Basi inaanza na kumalizia safari Magufuli. Abiria wanapelekwa na kuchukuliwa kwenda na kutoka Magufuli using the shuttles. Mamlaka ipi haijaheshimika hapo?
Lastly, nyerere mnaemuona saint na kumtetea alihakikisha Bibi Titi (his own friend) anaenda jela for treason kwa kupishana nae kuhusu Azimio la Arusha.
Mnaoyaona kwa Magu, Samia na hao wengine yalianza kwa nyerere. Ndo maana nashangaa sana mnapomuita visionary na kumtetea.
I sincerely despise figures that are fascinated na ukabila and other narrow identities.
I have seen countries burn due to this nonsense.
Kuna figures humu wamemeza huu upuuzi ,karirikariri vikabila,language groups and have bought the nonsense that you can't build a nation from it
@SamuelBaker_B What are the chances of something like 1994 or even worse when Kagame is gone? From you POV, it seems the tribalism/ethnicism never went away afterall.
@bichwaa@notyoursManka@LukxyLove Uko sahihi. Utashi wa kisiasa na udhati unahitajika zaidi. Katiba hii iliyopo with all the flaws ingefuatwa walau kwa 80% tungekuwa na jamii yenye utengemano mkubwa.
@ThatBoyKhalifax Kama nimekuelewa mkuu
Waislamu na Wazanzibar wasiongee tu pale wanapokuwa attacked, Bali pia wapaze sauti pale wanapoona dola inatumia unasibu wao kujisafisha na Kuumiza wengine