@swahilitimes Hapo wamuige iran kuwekeza ktk teknolojia yao wenyewe, wanakuuzia ila wanajua udhaifu wa hzo silaha, siku ukiingia ktk mfumo wanajua wanakupga vp
@kapeto98 Nilienda na winga anajifanya duka lake machale yakanicheza nikachukua mzgo mdg hauzid laki 2 ilikuwa mchana, baadae jion nikarud palepale nikamwambia boss mwanzo nilikuja na mawing, ss nipe bei za ukwel, aisee utofaut wa bei mbingu na ardhi๐