@SuluhuSamia Mama naomba nikusaidie UVCCM niwe katibu umoja wa vijana taifa naweza sisi watoto wa vijijini na yatima tusiodeka mtoto wa Samia.
KATIBU MWENEZI MSTAFU WILAYA YA HAI.
Leo tumeingizwa kwenye mfumo na Chadema na tunejaa @freemanmbowetz
Mbowe amewazunguka kwa mlango wa uwani kupitia usemaji wa familia Lowassa uwenda kitendo hicho kutokupewa heshima aliyostaili yakugombea 2015 Urais kwani imewakera familia @ccm_tanzania@SuluhuSamia