Após a conferência de imprensa do Selecionador Nacional, e no seguimento de uma conversa com o Presidente da Federação Portuguesa de Futebol, tomei a decisão de deixar o estágio da Seleção Nacional.
A seu tempo, direi a verdade a todos os Portugueses sobre as razões que motivaram a minha saída da equipa nacional, à qual sempre me dediquei.
Agora é tempo de desejar boa sorte a Portugal e a todos os meus companheiros de equipa, sem exceção.
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.
Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.
Asanteni Sana.
Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi .
Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media .
Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani .
Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss .
Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all .
Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA
THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE
" The World is Yours "
GEORGE AMBANGILE 🤝
#HABARI Kundi la kwanza la wakimbizi wa Burundi waliokuwa wamehifadhiwa nchini Tanzania wameanza kurejea makwao kufuatia mpango wa kuzifunga kambi za wakimbizi nchini humo.
Kwa sasa kuna kambi mbili za wakimbizi Kaskazini-Magharibi mwa mkoa wa Kigoma, Nduta na Nyarugusu.
Wakati kambi ya Nduta ikipangwa kufungwa ifikapo Machi 31, 2026, ile ya Nyarugusu inatarajiwa kufungwa mwezi Juni 2026.
Mwishoni mwa Novemba 2025, Shirika la Umoja wa Mataifa liliripoti kuwa kulikuwa na zaidi ya wakimbizi 140,000 wa Burundi katika nchi jirani ya Tanzania, ambao wamekimbia machafuko ya wenyewe kwa wenyewe nchini mwao.
Mnamo 2017, ilionekana kuwa salama kwa wakimbizi wa Burundi kurejea nyumbani kwa hiari.
UNHCR ilifanya makubaliano ya pande tatu na serikali ya Burundi na Tanzania kuwarudisha nyumbani kwa hiari, mchakato ambao hata hivyo ulitatizwa na janga la Uviko 19. #EastAfricaTV
Wengine tunajenga maisha yetu kuanzia chini kabisa, bila utajiri wa familia wala connections za wakubwa. Hakuna mtaji wa biashara toka kwa wazazi wala connection za kazi toka kwa mjomba. Tegemeo letu ni MUNGU, nguvu na akili zetu. MUNGU asimame na vijana wote wanaopitia hali hii.
Shetani akitaka kukuangusha anakupa Kiburi, jeuri na dharau. Anakufanya ujione una uwezo wa kufanya lolote unalotaka wewe bila kujali lolote. Anakufanya ujione una Upekee wa ajabu usiolinganishwa na binadamu yeyote yule.
Deeply saddened by the passing of my dear friend and former Prime Minister of Kenya, Mr. Raila Odinga. He was a towering statesman and a cherished friend of India. I had the privilege of knowing him closely since my days as Chief Minister of Gujarat and our association continued over the years. He had a special affection for India, our culture, values and ancient wisdom. This was reflected in his efforts to strengthen India-Kenya ties. He particularly admired Ayurveda and traditional medicine systems of India, having witnessed their positive impact on his daughter's health. I extend my deepest condolences to his family, friends and to the people of Kenya in this hour of grief.
Ujue kuna ile feeling unaipata siku unaenda Apple Store kununua simu yako au kifaa chacho cha Apple ndani ya Apple store…utahisi kampuni inakujali, pale utakapokuatana na wahudumu na kuanza kuwauliza maswali na wao kukujibu huku wakiwa wanatabasamu, na hiki ndicho apple anakifanya kugain your customer loyalty.
🚨💣 BREAKING: Alexander Isak to Liverpool, here we go! Deal agreed now for £130m transfer fee. Record move for Premier League.
Isak, on his way today for medical tests as new Liverpool player after long term deal agreed months ago.
It was always ONLY Liverpool for Isak.
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeutangazia umma kwamba kupitia mifumo ya ukaguzi na ufuatiliaji wa bidhaa katika soko iliyowekwa, imebaini uwepo katika soko wa Dettol za Maji bandia zenye ujazo wa 50ml, 125ml, 250ml, 500ml na Lita1 zinazotengenezwa kinyume cha Sheria (njia haramu) na kubandikwa lebo kuonesha kwamba ni Dettol zilizo halisi.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dkt. Adam Fimbo, imeeleza kuwa Utengenezaji wa Dettol hizo bandia umebainika kufuatia taarifa za kiintelijensia zilizokusanywa na TMDA na kisha ukaguzi uliofanywa kwa pamoja na Jeshi la Polisi katika nyumba moja ya kulala wageni inayoitwa New Kishimbe Lodge iliyopo Mtaa wa Namanga, Kahama mjini, mkoa wa Shinyanga.
Aidha Katika nyumba hiyo kulikutwa malighafi mbalimbali zikiwemo vifaa, kemikali na vyombo kama vile chupa tupu za Dettol, lebo, rangi, madumu makubwa na vimiminika (liquid foams) katika chumba kimojawapo walichokuwa wanaishi raia wawili (2) kutoka nchi jirani ambao wanatuhumiwa kushiriki katika uhalifu huo.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa baadhi ya Dettol bandia zimegushiwa namba za matoleo (batch numbers) na kuandikwa P08 08 24R25 na P0 02 24R25.
Aidha Dettol hizo feki zimegundulika kuwa kifuniko cha chupa akina kifungo (lock) kimeunganisha na bangili hivyo kinafunguka kirahisi na kuongeza kuwa upande wa lebo zinafanana na halisi lakini Dettol bandia zinabanduka kirahisi sana.
Aidha kutokana na mabadiliko hayo ya Dettol bandia, Mamlaka hiyo imewashauri wananchi wote wanaotumia Dettol ya maji kwa ajili ya matumizi mbalimbali kuuua vijidudu kuangalia kwa makini lebo zake na endapo watatilia mashaka watoe taarifa kwenye ofisi za TMDA zilizopo karibu au kituo cha Polisi.
Pia wafanyabiashara wanaojihusisha na ununuzi wa bidhaa hizo wameelekezwa kununua Dettol kutoka katika vyanzo halisi na kupewa risiti ya manunuzi aliyofanya.
#KitengeUpdates
iPhone 14Pro Max
256GB 🔋87%
Deep Purple
Tsh 1,450,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST 🌺🌷💕