Happy New year Tanzania.
2026 ni Mwaka wa kufocus kupambania haki ambazo wenzetu waliuawa wakizipigania.
2026 sio Mwaka wa kufanya maridhiano na wauwaji walioua Ndugu zetu na bado wanatushikilia na mtutu as bunduki.
2026 ni Mwaka wa kudai Katiba Mpya na uchaguzi Mpya, sio Mwaka wa kufanya maridhiano na wezi wa uchaguzi.
2026 ni Mwaka wa Watanzania wote kustay focus ili tupiganie haki na na sio Mwaka wa kurudi tena Kwenye upuuzi wa kutekwa akili na kiki na upuuzi we wasaniii. Please stay focused. Tukisharudi Kwenye umbea wa wasanii basi tumekubali kushikwa akili na Samia na genge lake la wauwaji. STAY FOCUSED
Familia nzima pamoja na ndugu na marafiki zao wameajiriwa na serikali ila wanawaambia wananchi wakajiajiri.
Na mahela yao yooote ya ufisadi bado wanataka ajira serikalini ila wananchi ambao hawana uwezo wa kujiajiri wanaambiwa wajiajiri.
Ni kama wiki 2 au 3 zilizopita niliwaeleza Watanzania hali ilivyo tete jeshini.
Kuna watu walidhani naongea hivi ili kuwatia moyo Watanzania waandamane kwa mara ya pili. Haya leo Samia muuaji kaongea mwenyewe hadharani.
Dada yenu nikiongea jueni habari nimezitoa mulemule.
@meta Please return my platform so I can keep informing Tanzanians. My platform was the only uncensored media available to the people.
Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani.
Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win.
Hakuna kurudi nyuma…..
@Sirjeff_D Najua unauchungu na nnchi Yako mwan achana na tafsri zak za kisiasa najua unaemlenga dhidi ya manen Yako ya sikuizi wananchi tutaku support lakin siku likikukuta juu ya unaloongea hutotuona kaush mwnangu nyamaza kam hutonisikia bas. Your gvmt itakjib soon tu katzo la awali nmkpa
DON'T SLEEP WITH SOMEONE'S WIFE
I have warned you hundreds of times that you should stay away from someone's wife.
She might be beautiful and attractive,
She could even approach you,
But don't fall for the temptation of sleeping with another man's wife.
— He will kill you.
The man will kill you or will hire hitmen to kill you.
— and when they kill you, they will chop off your dick and roast, then throw it to hounds.
— He will kill you.
The man might be weak, but don't attempt. Don't be mistaken that because he is weak, he will leave it like that.
— He will kill you.
Don't think all men have a masculine frame to withstand the agony of learning that his wife cheated.
Others don't have that grace.
— He will kill you.
All these sassy women you see online who are married are the most dangerous.
Don't move near them. They might convince you that they are divorced, but they are not divorced.
Her husband spends thousands of dollars to please her, buy her clothes, and elevate her in the dating market.
Her husband will not spare you.
— He will kill you.
Those with ears, let them listen.
Those who think I am a content creator that is your problem.
— He will kill you.
We shall mourn, write hashtags, and bury you.
But you will leave behind a disgraceful legacy, a painful experience and a broken family.
#ManDay
Chukua ile Bilioni 2.4 ya Jana alopost mamge.
Chukua Bilion za G-Wagoni
Chukua Billion za Bugatti
Chukua Billion za Rolls-Royce
Chukua billion za ma Range Rover limited Edition
Huyu mtoto ndani miaka minne tu ameipiga nchi Mabillioni kama sio matrillion ya hela apo bado Wanu.
Kwenye mikutano yako yote uliyokuwa unaifanya kabla ya kukamatwa, ulikuwa ukisema , CHADEMA iko tiyari Serikali kuongeza hata miaka 3 madarakani ili kuwepo na muda wa kutosha kwa ajili ya reforms za uchaguzi. Wewe uliyetaka watawala waongezewe muda kwa ajili ya marekebisho ya sheria sasa umepewa kesi ya UHAINI.
New traders do this;
- pick one strategy and
- challenge yourself to take 100 trades on it
- on all trades go for 1:3RR minimum on all setup
- don’t touch trade until either TP or SL nothing like partial profits
I want to dare you to do this and come back to this tweet