Kijana wa kiume sehemu ambayo unatakiwa kuwa mkali na katili ni kwenye Uchumi wako.
Usikubali, ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi wakugeuze shamba la bibi kukuomba pesa.
Yaani wakufanye emergency funds.
Malengo yako yakifeli hakuna atakayejali.
Wakuvumilie utimize malengo kwanza.
Makazini kuna watu wana roho za KICHAWI sana. Usitafute marafiki kwenye eneo lako la kazi. Fanya kazi yako according to your JD then go home. Unayemwita rafiki ndio atakua chanzo cha kupeleka maneno ya uchonganishi kati yako na superiors. Watu wengi wamejawa na HUSDA na WIVU.
You're a man.
Stop telling people about your private life.
It’s dangerous to showcase what God is doing in your life around unhappy people.
VERY dangerous!
@MarekaMalili Nguvu kubwa imewekezwa kudogosha taasisi ya kwanza kuanzisha Duniani ambayo ni Ndoa/familia. Familia zisipokuwa imara, jamii inaharibika kirahisi sana!
Mungu akikuonekania, nunua a good fridge, tv , sound bar , washing machine, microwave,cooker then na a good phone. Utaona vile alot will change, ata vile unafikiria inaanza kuchange 😅
Mark Zuckerberg, Elon Musk, Michael Dell, Larry Page na Mabillionaire wengine.
Hawakupata utajiri kwa kulala na Wanawake.
Hawakupata utajiri kwa kuwezeshwa na Wanawake.
Kijana Epuka kuwa na Mahusiano can drain your energy, Wanawake hawatokusaidia chochote otherwise it's business