@mchachu_ Banks zina njia nyingi za kuziingizia Faida, charges kwenye transaction inawapa NFI lakini kuna many other sources of income zinazoweza kuwapa faida.
🚘Subaru Forester SJ aka the Game Changer..
.
Hii chuma ni bonge moja la transformation kwenye kizazi cha Subaru..
.
NIkukumbushe tu Subaru ina generation 5 mpaka sasa na hii SJ ni Ya 4..
.
Production Yake imeanza 2012 ikaingia sokoni 2013-18, funga mkanda vizuri twende pamoja👇