@KingPablotz Wakati wa kipindi cha hisabati shule ya msingi utakuwa ulikuwa unabeba upupu na mmavi mavi darasani na unaweka kwenye meza ya mwalimu๐๐๐๐๐
@MarekaMalili Kuna jamaaa yangu alinisimulia alipanga nyumba maeneo ya sinza, mara kadhaa huwa akirud usiku kwake nyumba haioni kabisaa haipo, anaondoka akirud asubui anaikuta.... Alihama aiseee...