@kasesco_tz Kuajiriwa si utumwa kwasababu ya kupangiwa muda. Ni utumwa ikiwa mshahara ni mdogo maana hapo ajira itakupangia ni baada ya miaka mingapi utajenga, utaoa, muda wa kuzaa n.k
@BusesDaily Picha Imeeditiwa, (Magari yamepachikwa tu hapo kwenye picha).
Hivyo picha inakosa maana zaiidi inaweza onekana Saratoga ana makosa wakati ni tukio la kuedit.
@PanAuthentik@dizastavina Watakuambia mi wakishua coz am cute in
Nipo juu kama human kwenye food chain
Vile i look good and i have got this cool slang
nipo juu kama xhongโ P wa abuud camp