@fbuyobe Naam nimekusoma Kaka.. Kwenye jina la PM ni Eduard Ngoyai Lowasa na sio Frederick kama ulivyoandika, najua unajua hivyo tunaichukulia as sleeping of the pen
@Dominicksalamb1 Mwandishi acha unazi.. Kwamba walishafika robo mara ngapi hadi wawe na Mvuto? Mvuto upi? Kwa uwezo upi? Kichwa chako kimejaa Utopolo tu
@Oktoba29 Kwan hawa ni Wanajeshi gan sasa? Hawajaajiriwa wala hawalipwi mshahara, Mwenyew nlisota Mafinga pale miezi 6 kwa mujibu ila huo uanajeshi fyuuu.. Ndio maana alijitambulisha mwanzoni kama Wakili wa Mahakama Kuu.. Alishajua wanamtaftia angle ya Uanajeshi wapambe Kosa waliloandika.