@MkulimaKante Sasa hapo alizitegaje? Vp asingekutana na mchina? Angekua mtegaji mzuri angezipandisha mwenyewe kutoka biashara ndogo hadi kuwa kubwa. Hapo anatembelea mtaji wa mchina hivyo sio smart saana.
@fbuyobe@daudibalali Kilichokusudiwa hapo ni huo ujumbe ulioandikwa ktk hiyo account. Naona watu wanajadili kweli kuhusu kulipia badala ya kujadili hiyo content.
@kaji_sijo Wimbo uliompeleka jay mjini ni Chelsea bongo, uliotoka mwaka 2000. Mwaka mmoja baadae akina suma lee walitoboa ktk tansinia kwa wimbo wao aisha aisha, chungwa na nyengine nyingi. Ni kama wamefuatana, lkn kwa namna ulivyoelezea hapa ni kama sumalee ni dogo saana kwa jay.
@fbuyobe Labda baada ya kushindwa ktk uchaguzi wao wa ndani walitaka kutimkia sisiemu, labda waliambiwa kabla ya kuja huku kivurugeni kwanza chagema, kikiwa hooi ndiyo mje huku, yani dakika za jioooni
@JonMrema@PatricOleSosopi Ulipaswa kwenda kusema hayo kikaoni sio mitandaoni. Unafikiri hao CCM hawapishani mawazo? Lkn wanajadiliana ndani na kukubaliana wanatoka na kauli moja.
@Mzee__Kinani@kisasikipya@chiefodemba 2015 ktk majimbo 8 ya uchaguzi, chadema walishinda 5 na moja walishinda cuf maulidi mtulya. Jiji zima lilikua chini ya chadema, likiongozwa na meya wa chadema.